NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,044
- 19,239
Just proliferate and fill that landmass.Yohanna said so. Now the neighbouring countries should expect more witchdoctors, drug dealers and beggars!Tanzanian tu stop breeding hata waziri wa fedha alisema uchumi wetu unakuwa kwa kasi lakin tunazaliana sana mbaka ile kasi ya uchumi haionekani
Your allegations might be true but not reason enough as an excuse. Comparing the resources available that include: large arable land mass, minerals, tourists attractions etc versus population, you'll realize that some under achievements are self inflicted.Tanzanian tu stop breeding hata waziri wa fedha alisema uchumi wetu unakuwa kwa kasi lakin tunazaliana sana mbaka ile kasi ya uchumi haionekani
Usijidanganye kua mmeshafika mbali acheni ujuaji wa kijingaYaani tukiamua kudadavua viashiria vyote, moja baada ya kingine, ndio wenzetu hawa wataelewa kwanini wanafaa kuacha ligi yoyote baina yao na Kenya maana wapo mbali sana.
Hatujafika mbali. Bado sana................ila tunaongoza Afrika Mashariki na hakuna ubishi hapo. Shida yenu wenzetu ni kubisha visivyobishika.
Wala sina haja ya kubisha lakin mfaham tunahitaj kujitoa tulipo walau kila kijiji kiwe na umeme barabara zakueleweka huduma za afya na maji safiHatujafika mbali. Bado sana................ila tunaongoza Afrika Mashariki na hakuna ubishi hapo. Shida yenu wenzetu ni kubisha visivyobishika.
Nilipopost uzi wa GDP humu, wabongo wengi walilalamika kuwa GDP sio njia mwafaka ya kupima uchumu wa nchi na kwamba kuna uwezekano kua Tanzania inazalisha mali kuliko Kenya ila mali hiyo haijanukuliwa kwenye GDP. Wenzangu Wakenya walijaribu kuwaelezea kuwa mali isiyonukuliwa kwenye uchumi wa Kenya na Tanzania haiwezi leta tofauti kubwa kwa final figures za GDP lakini wapi. Basi nimeona ni vyema nipost indices zingine zinazoguzia vyema ubora wa maisha kati ya nchi za Afrika mashariki ili tupate picha mwafaka. Leo naanza na afya na hii hapa ni orodha ya nchi za Afrika Mashariki na namba ya madaktari kwa watu elfu kumi.
Kulingana na world bank, mambo ndio haya:-
1. Kenya - 2 Physicians per 10,000 people - Physicians (per 1,000 people) | Data
2. Uganda - 0.9 Physicians per 10,000 people - Physicians (per 1,000 people) | Data
3. Rwanda - 0.6 Physicians per 10,000 people - Physicians (per 1,000 people) | Data
4. Burundi - 0.3 Physicians per 10,000 people - Physicians (per 1,000 people) | Data
5. Tanzania - 0.2 Physicians per 10,000 people - Physicians (per 1,000 people) | Data
The best country has 10 times as many Physicians as the worst country.
Desist from commenting on things you don't understand.Aisee wewe mtu ni shida???
Pamoja na tz kuwa na watu wengi zaidi ya nchi zote hizo umeshindwa kunotice chochote,yet unategemea kuwa na watoto one day,i feel sorry for them.
Juma pili, viroba halafu uingie JF lazima uta- comment Upuuzi.Aisee wewe mtu ni shida???
Pamoja na tz kuwa na watu wengi zaidi ya nchi zote hizo umeshindwa kunotice chochote,yet unategemea kuwa na watoto one day,i feel sorry for them.
Njaa + kiwewe cha mlipuko=mkenya aliyechanganyikiwa.Juma pili, viroba halafu uingie JF lazima uta- comment Upuuzi.
Desist from commenting on things you don't understand.
Hatujafika mbali. Bado sana................ila tunaongoza Afrika Mashariki na hakuna ubishi hapo. Shida yenu wenzetu ni kubisha visivyobishika.
Nambari 4 Africa. Next frothing please.So hoja ni kuongoza EA [emoji1][emoji1][emoji1].
Nyie watu mnahitaji uponyaji!!!
Nambari 4 Africa. Next frothing please.
Sasa linganisha na ya kwenu uone mlivyo bure kabisa. Kila mahali mnavuta mkia ila mdomo bakuli hapo JF mtu anaweza fikiria ni wananchi wa SA kumbe ni masikini Danganyika.You are not even atleast mzee acha upang'ang'a.
Twende katika viwango vya kimataifa,mtaalam mmoja anatakiwa ahudumie watu wangapi??
Definition ya physician iliyotumika ni ipi?Nilipopost uzi wa GDP humu, wabongo wengi walilalamika kuwa GDP sio njia mwafaka ya kupima uchumu wa nchi na kwamba kuna uwezekano kua Tanzania inazalisha mali kuliko Kenya ila mali hiyo haijanukuliwa kwenye GDP. Wenzangu Wakenya walijaribu kuwaelezea kuwa mali isiyonukuliwa kwenye uchumi wa Kenya na Tanzania haiwezi leta tofauti kubwa kwa final figures za GDP lakini wapi. Basi nimeona ni vyema nipost indices zingine zinazoguzia vyema ubora wa maisha kati ya nchi za Afrika mashariki ili tupate picha mwafaka. Leo naanza na afya na hii hapa ni orodha ya nchi za Afrika Mashariki na namba ya madaktari kwa watu elfu kumi.
Kulingana na world bank, mambo ndio haya:-
1. Kenya - 2 Physicians per 10,000 people - Physicians (per 1,000 people) | Data
2. Uganda - 0.9 Physicians per 10,000 people - Physicians (per 1,000 people) | Data
3. Rwanda - 0.6 Physicians per 10,000 people - Physicians (per 1,000 people) | Data
4. Burundi - 0.3 Physicians per 10,000 people - Physicians (per 1,000 people) | Data
5. Tanzania - 0.2 Physicians per 10,000 people - Physicians (per 1,000 people) | Data
The best country has 10 times as many Physicians as the worst country.
Kama hujui maana ya Physician hufai kuwa kwenye huu uzi.Definition ya physician iliyotumika ni ipi?
Msomi anapofanya research huwa anaweka wazi definition of terms.Training za Udaktari zina utofauti nchi mbalimbali...qualifications za wahitimu zinaweza kuwa tofauti pia.Kama hujui maana ya Physician hufai kuwa kwenye huu uzi.
Sasa linganisha na ya kwenu uone mlivyo bure kabisa. Kila mahali mnavuta mkia ila mdomo bakuli hapo JF mtu anaweza fikiria ni wananchi wa SA kumbe ni masikini Danganyika.