kamanda mkuu
Member
- Aug 5, 2011
- 15
- 4
Unamatusi wewe unadhani hao wanagawanyika kama peremende umeulaKampen zinatarajia kuanza ndani ya chama.ZITO nae aende nyamga kwa wenje.FREEMA...aende kuMTWARA.siku zote dr alikua wapi?Watu tume kumbuka stori zake jukwaani jicho linamtokaga sana.karibu na kwetu uyole.lakini ktk (ushua) nakumitano tunamtegea KABWE.
Kwanini isiwe Lindi au Mtwara?