Do You Save?.... How Much?

Yes huwa nasave but kwenye upande wa percent itadepend nasave hiyo hela kwa malengo gani.
 
So long sijui ntakufa lini,

Mie naponda raha, kufa kwaja.

Nisave? Nimsevie nani sasa?:kev:
 
Du hiyo ishu inaniumiza kichwa kweli but i try my best kusave kitu kidogo fr the rainy days.matumizi yangu madogo but lazima nitume hela home lazima nimtumie wife kitu kidogo lazima niweke bajeti ya nyagi etc......watu mliosomea haya madudu tupeni techniques za kusave
 
So long sijui ntakufa lini,

Mie naponda raha, kufa kwaja.

Nisave? Nimsevie nani sasa?:kev:

Save bana.. Mi sitaki mambo ya kusumbuana viroba vya mchele ukishafikisha miaka 150..
 
So long sijui ntakufa lini,

Mie naponda raha, kufa kwaja.

Nisave? Nimsevie nani sasa?:kev:

ponda raha babu, maisha yenyewe mafupi. Muda wowote tunang'ata ulimi.
 
mjini watu wanaishi kwa mbinu nyingi sana kwasababu mishahara haifanani na matumizi yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…