Do you have guts??? Basi "Brag" a bit....

That much I can attest dear..... Keep on keeping on Love... BTW saizi kitu gani umekusudia ukipate?
Thank you so much Anti
Siwezi kusema hapa, thread itahamishwa nzima nzima kwenye jukwaa la hoja nzito. teh teh teh
 
Well, my peers say I have the potential of being among the top readers and scholars in Africa.


Bravo.... What sort of books are you interested into... I being an avid reader too..... Will appreciate knowing....
 
hongera kwa kupungua

inahitaji displine sana
mie nimepunguza kama 8kg for 2 months
hadi nifikie lengo


Hongeras saaana Kongosho... I am Proud of you...
 
Umenikumbusha kingine: hua sitamani kitu just kwa kukitamani, kila kitu ni kwa mstari, na kila ninacho kipata ni ngazi mpya kwa hatua inayo fwata. so Nikisha pata nilichokua natafuta naenda nacho next level. lol

that is good
unaweza kuvumilia kuwa a passenger in the car?
nakuona all the time you like to drive lol
 
Thank you so much Anti
Siwezi kusema hapa, thread itahamishwa nzima nzima kwenye jukwaa la hoja nzito. teh teh teh


aaww' no problem Mwali my mwali, I know the ripe time will come.... Ulimpa ankal wako chai?
 
Mvumilivu, nasamehe haraka....nimesaidia wahitaji kwa kadri ya uwezo wangu pale nilipoweza.....zaidi ya yote,ninajivunia kuitwa mama na watoto yatima niliowalea hapo nyuma na nitakaoendelea kuwasaidia nikipata uwezo zaidi.....hakuna kitu kimenifurahisha maishani so far kama wao kujivunia hata nikiwa mbali,tuna mama yetu anaitwa fulani,na nikifika wanaacha chochote wafanyacho kuja kunilaki.....hata nikifa leo,ndicho kitu pekee najivunia!
 
aaww' no problem Mwali my mwali, I know the ripe time will come.... Ulimpa ankal wako chai?
Nilimpa. alisema alikua na siku ndefu leo, nikikuona nikwambie anaenda nyumbani mara moja kukusubiri.
 
Leo nimepata status ya ''JF Senior Expert Member''.Kwangu mimi achievement ndogondogo ndizo huzaa kubwakubwa ila natamani ungekuwa Ubunge ili na mimi nipate haka kaposho kapya ha..ha..ha..ha ila 2015 sio mbali.My JF i.d says it all about me,am always on to the next big thing.
 
that is good
unaweza kuvumilia kuwa a passenger in the car?
nakuona all the time you like to drive lol
Mara chache sana, ila sito enjoy...
Napenda kuendesha maisha yangu mwenyewe...
 
Tuachie namba ya sim kabla hujaingia huko maana mkisha ingia mnapotea. lol
 


Hicho hujivunii wewe tu.... Hicho hata mimi nakusifu, kuku admire na kukuona kama one Great woman. Wengi twaweza kwa maneno lakini sio kwa matendo kama wewe..... You have the rite to be proud and even brag once in a while... You deserve it Michelle and I mean it from the bottom of my heart.... Naomba nikusifu "Michelle you are one Great Lady - Na Mungu akubariki!" Pamoja Saana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…