Hey whats it with the Avatars? hayo manyanyaso jamani.... Dah! lol
Mbona sasa hu comment kuhusu mjadala kama ulivo ahidi? lol
inaelekea huamini wewe,niPM for private demo.Mbona size 10 hata sio kubwa kiviiile?
Najua watu wanaovaa 11-12.
Habari yako Mr Rock,I love myself and najipongeza though not successful but najipongeza kwa pale nilipo na kile ambacho nategemea kufanya
najipenda the way nilivyo na nisingependa kuongezeka wala kupungua zaidi ya nilivyo
i reserve my comments........... but
nimefanikiwa ingalao kwa 10% kujiaminisha wanaume wa dar nao ni wanaume
jamani Asha,we si umetoa uwanja kila mtu ajinafasi,sasa si unaona Lizzy alivyoshadadia post yangu(btw she seems curious and perhaps she wanna see the 'wonder')!B' unapenda sifa wewe!! Khaaa! unataka kwa hio tukufikirie wewe ni Mkusukuma mitaa ya kati? :shock:
Habari yako Mr Rock,
Hongera nahisi unafanana na hiyo avatara yako,
Heri ya mwaka mpya mkuu!
jamani Asha,we si umetoa uwanja kila mtu ajinafasi,sasa si unaona Lizzy alivyoshadadia post yangu(btw she seems curious and perhaps she wanna see the 'wonder')!
Hahahaha!Salama kabisa
Niko salama na heri ya mwaka mpya pia
Kiukweli naweza sema yes nafanana nayo kiasi
Ila sijisifii bana
Hahahaha!
Asante Mr Rock,
Nilishagundua watu huweka vatara zinazofanana na vitu wanavofanana navo au kuvipenda!
Ila mimi. . . hizi spoku? Acha kunichora bana. . hahahaha.
Kwa upande wangu nakubaliana na hilo
Na mtu huweka Avatar kutokana na anavyoshabihiana na mhusika
Asante sana
Hahahahah!Kwa upande wangu nakubaliana na hilo
Na mtu huweka Avatar kutokana na anavyoshabihiana na mhusika
Asante sana
Mh! Bagheshi,ina maana mimi nashabihiana na NZI?!
Hahahahah!
Sipati picha kwa kaka yangu Fidel sijui anafanana na skeleton au anazipenda lol!
Pamoja kaka!
Spoku wapi,una miguu mizuri bana.
Husikose imani juu ya urembo wako.
mmmmmhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!Habari yako Mr Rock,
Hongera nahisi unafanana na hiyo avatara yako,
Heri ya mwaka mpya mkuu!
Bishanga nini sasammmmmhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!