jamani eeeeehhh bishanga ninavaa kiatu size 10!
dar es salaam nzima maduka yote huwa sipati kitendea kazi saizi yangu!
nna shida mie mwanawane!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mi nim kareee!!!!
Everything I touch turn to Gold...
Thank to Allah for making it all possible
Thats me baby!
Its not bragging if you can back it up -Mohammed Ali
Nayapenda yalivyo
Afu nahisi hata wewe unajua kuwa ndo strong feature
Ndo maana wajitanda na kuyaacha wazi lol
Kakako ndo ana raha sana than all men in the world! I don't sweat over stuff, hujaskia watu wanalalamika humu kuhusu stalkers? Yaani siku tu akiniambia sikupendi king' namuambia let's make a plan out. Kesho tukikutana town tunapigana ofa, sio mambo ya ugomvi wa jogoo.
(Ila aisee, haka ka-new niece golden mpolee, nashindwa kuka-fit close kama ndugu. But I will figure out soon,lol)
Mbona size 10 hata sio kubwa kiviiile?jamani eeeeehhh bishanga ninavaa kiatu size 10!
dar es salaam nzima maduka yote huwa sipati kitendea kazi saizi yangu!
nna shida mie mwanawane!!!!!!!!!!!!!!!!!
jamani eeeeehhh bishanga ninavaa kiatu size 10!
dar es salaam nzima maduka yote huwa sipati kitendea kazi saizi yangu!
nna shida mie mwanawane!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mi sina cha kujisifia zaidi ya kujipa pole....
Damn ODM! Why you, Why?
Orayt... ODM anajisifia kamshinda nguvu Ziraili. Kanivizia nikamkwepa nikampa za shavu!....... kulaaleki ODM ni mnoma!ODM genuinely naomba uacha hayo na Mshukuru Mungu kwa kile ambacho kaweza kukubariki..... And I thot you would brag about what a man you are! where has that healthy spirit gone?
Orayt... ODM anajisifia kamshinda nguvu Ziraili. Kanivizia nikamkwepa nikampa za shavu!....... kulaaleki ODM ni mnoma!
On serious note: Najisifia kujizolea marafiki wema!!
Sasa hapo bold nikisifia hiyo makitu wakati mwenyekiti hayupo huoni ntakuwa nimekiuka miiko ya katiba?

nasubiri urudi.....lol
Sijawahi kuona umekosea asee.....Now you have done justice to the post.... ADI is proud of ODM.... Hapo ulipo nibold ndio Ukweli wenyewe na it does not mean my Man is Less of a Man..... It just means as much as you are indeed a Man, in my eyes only HE is an absolute Man to me.... Hivo haimaanishi ushindwe brag ukweli uuonao.... au nimekosea Darling shem?
we nae una ny...... mbaya,ulichowaza wala sicho,lol!mi naongelea V....I.....A.....T.....U.....!!!Kama kiatu size 10
Basi huwa unatumia mapulizo ya harusi:A S embarassed: