Nimekupata..sidhani kama huo naweza kuita wivu.. kama ulivyosema hiyo ni proud.. level ya satisfaction..ya kuona ..huyu ni wangu..
Mimi naamini wivu ni ule ambao unafanya hadi mtu unakereka.. ni karaha.. ni extreme..na una-negative impact..
By the way, nadhani kitu ulichosema ni tukubaliane ni kama a certain level ya wivu ambayo ni nature ya mwanadamu.. ni tolerable limit.. na kama unajua hatuwezi ku-discuss nature..kwani hata wanyama wa porini at the certain limit wana wivu..Binafsi nilikuwa nalenga vile vitu ambayo ni beyond nature..
Tatizo kubwa ni kujua the reasonable limit ambayo ni nature yetu..hapo ipo kazi..
Tulizo mie naona bado wivu huwa inaongeza ndimu kwenye mapenzi, sina sababu saana ila naona bado wivu ni chachu kwenye mapenzi,ukimpenda sana mwenzako lazima mwisho wa siku utamuonea wivu tuNimekupata..sidhani kama huo naweza kuita wivu.. kama ulivyosema hiyo ni proud.. level ya satisfaction..ya kuona ..huyu ni wangu..
Mimi naamini wivu ni ule ambao unafanya hadi mtu unakereka.. ni karaha.. ni extreme..na una-negative impact..
By the way, nadhani kitu ulichosema ni tukubaliane ni kama a certain level ya wivu ambayo ni nature ya mwanadamu.. ni tolerable limit.. na kama unajua hatuwezi ku-discuss nature..kwani hata wanyama wa porini at the certain limit wana wivu..Binafsi nilikuwa nalenga vile vitu ambayo ni beyond nature..
Tatizo kubwa ni kujua the reasonable limit ambayo ni nature yetu..hapo ipo kazi..
Hapa Rocky do you mean if I am the other gal... or "THE" Gal?? Nidadafulie hapo then we will move on....
Tulizo mie naona bado wivu huwa inaongeza ndimu kwenye mapenzi, sina sababu saana ila naona bado wivu ni chachu kwenye mapenzi,ukimpenda sana mwenzako lazima mwisho wa siku utamuonea wivu tu
The gal maana najua wewe hapo huwezi kufanya hivyo
AshaDii namaanisha kwako kama yako hiyo do u have the guts to move out with such a man
Tulizo mie naona bado wivu huwa inaongeza ndimu kwenye mapenzi, sina sababu saana ila naona bado wivu ni chachu kwenye mapenzi,ukimpenda sana mwenzako lazima mwisho wa siku utamuonea wivu tu
@ Any member - Tunaomba definition ya WIVU ya kamusi....
If i know deep down that he loves me... and he is proud to show it... Na I love him.... Of Coz i have the guts to move in with him with GREAT hope kua i will do my best abadilike... katika Mapenzi ni trial and error.... Naweza nisieleweke mbele ya jamii.... but believe me you it is worth the try.... For i can not judge the Man he is for i do not know the boy he was....
Hapo kwenye red hapo
Utajuaje kuwa yupo in deep love with you wakati hata kukutambulisha kwa washkaji zake ni issue
Kukupeleka kwake ni issue mpaka mgombane
Kukuonyesha kwa ndugu zake ni jambo lisilowezekana kila siku anatoa sababu
Hana hata chembe ya wivu na wewe hata akikukuta unamkiss mwanaume mwingine yeye anaona poa tuu
Ndio hata yuko kwenye deep love with you ila hapo mhhh mtoe kwenye ulimwengu wa kuigiza mlete kwenye reality
Rocky it is not fair!!! Ulinitega... Mie nilijibu from this..... [" A man can show you his bed but not his home"]
From the above nilotoa.... Siwezi condone... wala kua nae... hata kama anadai ananipenda... Dah!

mh...aseeeeeee
Na mimi maana yangu imetoka hapo hapo " A man can show you his bed but not his home"
Anakupa kila kitu unachotaka hata viwanja vya bei mbaya anakupeleka na kama ni mshiko utapata
Ila kwake hutokaa ukujue na kila ukiuliza hilo utapewa sababu lukuki maira mdogo wangu yupo kule na sitaki nimuonyeshe kuwa nina mwanamke
Mara baba yangu kutoka kijijini kaja so ni issue kukupeleka
Mara leo najisikia zaidi kwenda lodge zaidi ya nyumbani unajua home wapangaji wengine noma na mwenye nyumba akiniona na mwanamke anaweza nifukuza nyumba mradi sababu haziishi
Sijakutega bana
MIAMIA nitafutie na mimi hizo snickers basimh...aseeeeeee
MIAMIA nitafutie na mimi hizo snickers basi
Hivi unajua kuna tofauti ya " A man can show you his bed but not his home" hio na mwanaume huyo hapo juu??
TOFAUTI....
Wajuu hapo ni kwamba wee moja kwa moja huna maana kwake na hio statement yaweza ingia kama moja ya sifa yake.... But a guy from the above statement aweza fanya yoooote hayo (yaani call you, care for you, be responsible, take you places, akaonesha respect hivo hivo but kwake asikupeleke)
Tukirudi kangu.. kumbuka niliuliza kwana kua "the other gal" AU "THE Gal"??? Ukanijibu the later... For what i know if i am the later... he will treat me like his queen but not kama hapo juu.... thus my saying it was worth the try.....
Hivo basi akinifanyia hio in purple.... he is disqualified....