Lukansola
JF-Expert Member
- Sep 5, 2010
- 5,435
- 1,597
Ndanzi alikuwa mfanyakazi mlokole aliyeaminiwa sana na mabosi wake, hasa kutokana na imani yake ya kidini. Siku moja huyu ndanzi aliomba ruhusa kwenda kuhudhuria msiba wa mjomba wake. akaruhusiwa.
aliporudi baada ya wiki maongezi na bosi wake yalikuwa kama ifuatavyo:
Boss: Ndanzi pole sana na msiba, but do you believe in life after death?
Ndanzi: Yes boss, yapo maisha baada ya kifo hasa kwa mtu anayeishi na imani ndani yake.
Boss: Ooukay basi ndo maana baada ya wewe kuondoka, yule mjomba wako uliyekwenda kumzika alikuja hapa kukuulizia.