Gamba la Nyoka
Platinum Member
- May 1, 2007
- 7,038
- 9,353
ila kweli jamani, kuna raha fulan ambayo mama huipata hasa pale baada ya kichwa cha mtoto kupita, kisha akajigeuza akaanza kutoa bega moja nje huteleza halafu hutekenya na kuleta raha utafikir uko kwenye kilele cha kibo.
Vile wanalalamika kwa kugumia ni utamu...mmmh!!
Far from being in agony during childbirth, it has been claimed labour can actually give women an orgasm.
New evidence backs up theories that women can enjoy birth to the point of ecstasy according to a survey in the journal Sexologies.
source:
Women have orgasms while giving birth | Mail Online
My take:
Kumbe unaweza kumuona Mwanamke anahangaika kama kwamba anaumia wakati wa kuzaa kumbe Mwenzio anasikia Utamu (Orgasm).
.......Bado aiseeWewe bado kuingia wodini nini?
hii inaweza kuwa na ukweli kwa baadhi ya wanawake.
ila kweli jamani, kuna raha fulan ambayo mama huipata hasa pale baada ya kichwa cha mtoto kupita, kisha akajigeuza akaanza kutoa bega moja nje huteleza halafu hutekenya na kuleta raha utafikir uko kwenye kilele cha kibo.
uchungu wa mtoto hasa huwa kwenye first stage, inapokuja second stage kuna raha na uchungu kidogo.
Habari za jioni, vipi kwetu huko. Tukumbukane katika bwana!
hii inaweza kuwa na ukweli kwa baadhi ya wanawake.
ila kweli jamani, kuna raha fulan ambayo mama huipata hasa pale baada ya kichwa cha mtoto kupita, kisha akajigeuza akaanza kutoa bega moja nje huteleza halafu hutekenya na kuleta raha utafikir uko kwenye kilele cha kibo
uchungu wa mtoto hasa huwa kwenye first stage, inapokuja second stage kuna raha na uchungu kidogo.
Mambo si hayo sasa!!!!
.......Bado aisee
Hiyo signature yako sikua nimeisoma....hahahahahaha...lol...
mambo gani tena??
MIE KUJISEMEA UKWELI IMEKUWA MAMBO?
huyo aliyesema hayo akapimwe akili
Anajua kimbembe cha kuzaa kweli