Do we need "First Daddies"?

Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
7,516
6,495
Kwa huu ulimwengu wa usawa, kuna marais wanawake na watakuja wengi tu miaka inavyokwenda

Kwa sasa tuna "First Ladies" na wanatanua kweli kweli kwa mamlaka ya waume zao wenye mamlaka, lakini nimeona mifano michache (samahani sitaitaja) kwa wanawake marais na wenye vyeo vikubwa wanapokwenda kwenye shughuli za kikazi huwa hawaongazani waume zao(pengine niseme kwa uwazi) kwa mitindo ile tunayowaona wakifanya first ladies au wake wa hao wanaume wenye mamlaka

Je, wanaume hawapendi au ni wanawake wenye mamlaka ndio hawapendi? Au kwa vile bado haijahalalishwa kuwepo First daddies!

Malkia wa UK yes
 
Chapa Nalo Jr bana nilikuwa sijakusoma kumbe umejoin tarehe yangu ya kuzaliwa.

Haya kila la heri
 
Back
Top Bottom