Nimekuwa nikiona mjadala mwingi kuhusu video games, hasa watu wakisema zinapunguza focus na productivity, especially kwa vijana. Wengine wanasema kinyume chake — kwamba gaming actually inasaidia kupunguza stress na hata kuboresha decision making na reaction time.
Kwa experience yenu, hasa mnaocheza games mara kwa mara (mobile, PC au console), mmeona inaathiri vipi maisha yenu ya kila siku? Je, ni kitu kinachoweza ku-controliwa kwa balance au inaweza kweli kuwa distraction kubwa kama watu wanavyosema?
Ningependa kusikia mitazamo tofauti kutoka kwa watu wenye experience ya kweli, siyo assumptions tu.