OwkHabari zenu wadau wa jukwaa hili pendwa.. Nimekuwa nikisikia kuna viumbe wafananao na binadamu.Hawa viumbe inasemekana wanaishi sayari nyingine tofauti na sayari yetu ya dunia.. Inasemekana hawa viumbe hawaishi kwenye sayari yetu ya dunia
Inasemekana viumbe hawa wana I Q ya hali ya juu sana
Inasemekana wanateknolojia ya hali ya juu sana kuliko sisi binadamu wa dunia hii... Kumekuwepo na theories mbalimbali kuwahusu alliens..
Inasemekana pia kuna alliens waliowahi kutua hapa bongo... Any way elimu haina mwisho japo nina ka masters ka philosophy lakini kuhusu elimu ya hawa viumbe nipo mweupe kabisa.. Wajuzi karibuni kwa lectures
ulishawahi fanya kazi nasa?Hahahaha...hili swali Gumu sanaa chief...
Kwanini?
Diameter ya ulimwengu ni 10 bilion light years(yani mwanga kwa speed yake utatumia miaka bilioni 10 kutoka mwanzo mpaka mwisho wa ulimwengu(universe))
Jua linalo zungukwa na sayari hizi 8 au kama siyo 9 ni moja kati ya nyota zaidi ya bilioni 100 ambazo zinauwezo wa kuzungukwa na na haya mawe makubwa tunayo yaita sayari hizo nyota zikiwa zipo zinashikiliwa pamoja kwa nguvu inayoitwa dark matter ambayo hiyo pamoja na dark energy vinatengeneza zaidi 70% ya mass ya ulimwengu(universe).
Inasemekana hii dark matter inatoka nje ya ulimwengu wetu ambapo kuna uwezekano mkubwa ikawa inatengenezwa na ulimwengu zingine huko.kwasababu chanzo chake hakipo ulimwenguni hapa...
Sasa mkuu ukiuliza wako wapi wanaweza kuwa popote (nyota bilioni 100 zikiwa zinazungukwa mfano na sayari 4×100bilioni=400bilioni.sasa uwezekano wa kujua wako wapi ni 1/400bilioni ).asante
story za jabaAlien wapo na huwa wanaingiliana na binadam, na wanaozaliwa huwa binadam wenye akili sana. Walinzi wa us presidwa wale critical nasikia ni spicies ya hawa viumbe, hittler alikuwa mzazi mmoja alikuwa na dam ya alien, yesir arafat pia, waziri mkuu wa uk na wengine
Bila shaka ndio wanaoisaidia CCM kushinda kwenye Chaguzi Kuu za Urais, Ubunge na Udiwani!Aliens ni demons, au unaweza wait a fallen angels. Ni viumbe wa kiroho hawana miili kama Mimi na wewe. Viumbe Hawa, wamekuwa wakifanya maingiliano ya kingono na wanaadamu na kutengeneza viumbe (hybrid) wenyewe maili kama ya watu wa kawaida. Viumbe Hawa wana bases zao katika baada la Antarica, na pia katika Bermuda triangle, na hata katika Dragon's Triangle. Bermuda triangle kuna mlango wa kuingia katika bara la Antarctica(south pole). Meli, na hata ndege hupotea au kuzama katika Bermuda triangle. Aliens, au damons, ndiyo nyakati zingine wanaitwa "Watchers", au " Guardians". Aliens wapo , na ndiyo wanaosaidia nchi za Marekani, Russia, China, na hata Japan, katika matengenezo ya silaha za kivita kama vile madege ya B2 ambao ni anti gravity,na silaha za laser. Vile vile , Hawa Aliens ndiyo waliomsaidia Adolf Hitler kutengeneza submarine aina ya U-Boat, na hata matengenezo ya gari isiyotumia maji wakati wa vita juu ya pili ya Dunia.. Aliens wapo, na base yao iko Antartica ambako Hitler alitorokea.
Isue inayofanana na hii niliwahi kuisoma kwenye kitabu fulani kinaitwa Aliens visitation sikukisoma mpaka mwisho kwa sababu niliona kinanichanganyia madesa.Ila kinavyodai
Asili ya binadamu ni alliens waliofukuzwa katika sayari fulani ndipo wakaja duniani.Wakaanza kuishi chini ya ardhi ndo maana kuna underground tunnels kubwa sana zina miaka mingi sana duniani ambazo wanasayansi wengi wanajiuliza nani alizijenga.Baada ya hapo wakaenda kuishi bara la atlantis ambalo lilikuja kuzama mwanafalsafa Plato katika kazi zake za "Timaus" na "Critias" amelizungumzia sana bara la atlantis na kuzama kwake.Japo kuna watu sasa wanadai Antarctica ya Leo ndio Atlantis.Kiufupi Atlantis ndio yalikuwa makao makuu ya hawa aliens.
Baada ya kuishi Atlantis miaka mingi wakaamua kutengeneza kiumbe watakayemfanya awe mtumwa wao.Lakini wakakosea kwa sababu walitengeneza binadamu aliyekuwa sawa kiuwezo na wao.Hivyo akaja kuwaasi akawatoroka akaenda kuishi mabara mengine.
Baada ya kufanya kosa kumpa uwezo binadamu sawa na wao.wakaamua kutengeneza kiumbe dhaifu atakayewaheshimu milele na kuwa mtumwa wao daima ambao ndio Adam na Hawa wakawekwa bustanini.
kuna mengi sana naomba kuishia hapa
Inafikilisha.Isue inayofanana na hii niliwahi kuisoma kwenye kitabu fulani kinaitwa Aliens visitation sikukisoma mpaka mwisho kwa sababu niliona kinanichanganyia madesa.Ila kinavyodai
Asili ya binadamu ni alliens waliofukuzwa katika sayari fulani ndipo wakaja duniani.Wakaanza kuishi chini ya ardhi ndo maana kuna underground tunnels kubwa sana zina miaka mingi sana duniani ambazo wanasayansi wengi wanajiuliza nani alizijenga.Baada ya hapo wakaenda kuishi bara la atlantis ambalo lilikuja kuzama mwanafalsafa Plato katika kazi zake za "Timaus" na "Critias" amelizungumzia sana bara la atlantis na kuzama kwake.Japo kuna watu sasa wanadai Antarctica ya Leo ndio Atlantis.Kiufupi Atlantis ndio yalikuwa makao makuu ya hawa aliens.
Baada ya kuishi Atlantis miaka mingi wakaamua kutengeneza kiumbe watakayemfanya awe mtumwa wao.Lakini wakakosea kwa sababu walitengeneza binadamu aliyekuwa sawa kiuwezo na wao.Hivyo akaja kuwaasi akawatoroka akaenda kuishi mabara mengine.
Baada ya kufanya kosa kumpa uwezo binadamu sawa na wao.wakaamua kutengeneza kiumbe dhaifu atakayewaheshimu milele na kuwa mtumwa wao daima ambao ndio Adam na Hawa wakawekwa bustanini.
kuna mengi sana naomba kuishia hapa.
Kivipi mkuu figure gani hizo zinazoendana ? naomba ufafanuzi tafadhaliNa wanasema one of the pair coordinates za Pyramid of Giza figures zake zinaendana exactly na figures za speed of light.
Shukrani naomba kujua mfano wa wale wakwanza walio kimbilia mabara mengine.Isue inayofanana na hii niliwahi kuisoma kwenye kitabu fulani kinaitwa Aliens visitation sikukisoma mpaka mwisho kwa sababu niliona kinanichanganyia madesa.Ila kinavyodai