Hata morals and codes zao ni tofauti kabisa nimewasoma na naelewa tofauti kati ya secret society na dark religion mkuuUsitazame walioanzisha. Tazama malengo, na madhumuni ya societies hizo kuanzishwa. Kwa hiyo hawatoi kafara?. Hao huwezi kuwatenga lengo lao ni kuabudu ibilisi.. Kalaga baho.
Kwahy Mkuu unaamini katka hili?Isue inayofanana na hii niliwahi kuisoma kwenye kitabu fulani kinaitwa Aliens visitation sikukisoma mpaka mwisho kwa sababu niliona kinanichanganyia madesa.Ila kinavyodai
Asili ya binadamu ni alliens waliofukuzwa katika sayari fulani ndipo wakaja duniani.Wakaanza kuishi chini ya ardhi ndo maana kuna underground tunnels kubwa sana zina miaka mingi sana duniani ambazo wanasayansi wengi wanajiuliza nani alizijenga.Baada ya hapo wakaenda kuishi bara la atlantis ambalo lilikuja kuzama mwanafalsafa Plato katika kazi zake za "Timaus" na "Critias" amelizungumzia sana bara la atlantis na kuzama kwake.Japo kuna watu sasa wanadai Antarctica ya Leo ndio Atlantis.Kiufupi Atlantis ndio yalikuwa makao makuu ya hawa aliens.
Baada ya kuishi Atlantis miaka mingi wakaamua kutengeneza kiumbe watakayemfanya awe mtumwa wao.Lakini wakakosea kwa sababu walitengeneza binadamu aliyekuwa sawa kiuwezo na wao.Hivyo akaja kuwaasi akawatoroka akaenda kuishi mabara mengine.
Baada ya kufanya kosa kumpa uwezo binadamu sawa na wao.wakaamua kutengeneza kiumbe dhaifu atakayewaheshimu milele na kuwa mtumwa wao daima ambao ndio Adam na Hawa wakawekwa bustanini.
kuna mengi sana naomba kuishia hapa.
Jiulize kwann hyo ndege ikitikisika inaenda upandeJuzi hapa jeshi la marekani wametoa video inayoonesha aircraft yenye kasi ya ajabu. Wamarekani wenye wamesema hawajawahi kuona teknolojia kama hiyo inawezekana ni aliens.
Mkuu binafsi siamini lakini kuna kipindi ukifikiria na kusoma sana unaanza kuwaza kuamini.Hebu fikiria dunia ya Leo tunaamini vita iliyohusisha nucler bomb ni ya pili ya dunia lile bomu la Nagasaki.Kwahy Mkuu unaamini katka hili?
Inasemekana Dunia yetu ni globe Lakini ina tundu kubwa katika North pole, ambalo linaongoza katika nchi iliyoko chini ya dunia. Mbali na tundu la North pole, ipo milango mingi ya kupitia kufika katika nchi hiyo. Moja wapo ya milango hiyo ni area 51 katika jangwa la Nevada. Mlango ungine ni Bermuda Triangle. Nchi hiyo huwezi kuingia kwa chombo kama meli au ndege, mpaka ujue jinsi ya kufungua milango hiyo ambayo Iko katika higher dimension kuliko hii yetu.Labda mpaka wafungue wenyewe kama vile pale Bermuda Triangle.Kwa mimi jamaa naamini asilimia zote kuwa Alliens wapo na kuna mchambuzi mmoja alitoa ushuhuda kwa kuonyesha clips kuwa nchi ya Marekani wanavumbua defensive security na technology nyingi kupitia hawa Alliens na hawa wanapatikana katika eneo la Bermuda Triangle.. Na AREA 51 katika jangwa la Nevada military base ya Marekani
Unachekesha sana kaka. Nyota ya pembe tano(pentagram) iliyosimmamia ncha mbili ni ya kufunglia (evoke) malaika wema kufuatana na kitabu vya Mfalme Sulemani (Legmatik ye Kinge Solomon). Nyota hiyo hiyo ukiipindua ikasimamia ncha moja, ukaifungua, atatoka Lucifer mwenyewe. Halafu unasema cords,?. Wewe hujui kitu nyamaza.Hata morals and codes zao ni tofauti kabisa nimewasoma na naelewa tofauti kati ya secret society na dark religion mkuu
Inasemekana Dunia yetu ni globe Lakini ina tundu kubwa katika North pole, ambalo linaongoza katika nchi iliyoko chini ya dunia. Mbali na tundu la North pole, ipo milango mingi ya kupitia kufika katika nchi hiyo. Moja wapo ya milango hiyo ni area 51 katika jangwa la Nevada. Mlango ungine ni Bermuda Triangle. Nchi hiyo huwezi kuingia kwa chombo kama meli au ndege, mpaka ujue jinsi ya kufungua milango hiyo ambayo Iko katika higher dimension kuliko hii yetu.Labda mpaka wafungue wenyewe kama vile pale Bermuda Triangle.
Mkuu did atlantis exist?? Na kwanni lilizamaIsue inayofanana na hii niliwahi kuisoma kwenye kitabu fulani kinaitwa Aliens visitation sikukisoma mpaka mwisho kwa sababu niliona kinanichanganyia madesa.Ila kinavyodai
Asili ya binadamu ni alliens waliofukuzwa katika sayari fulani ndipo wakaja duniani.Wakaanza kuishi chini ya ardhi ndo maana kuna underground tunnels kubwa sana zina miaka mingi sana duniani ambazo wanasayansi wengi wanajiuliza nani alizijenga.Baada ya hapo wakaenda kuishi bara la atlantis ambalo lilikuja kuzama mwanafalsafa Plato katika kazi zake za "Timaus" na "Critias" amelizungumzia sana bara la atlantis na kuzama kwake.Japo kuna watu sasa wanadai Antarctica ya Leo ndio Atlantis.Kiufupi Atlantis ndio yalikuwa makao makuu ya hawa aliens.
Baada ya kuishi Atlantis miaka mingi wakaamua kutengeneza kiumbe watakayemfanya awe mtumwa wao.Lakini wakakosea kwa sababu walitengeneza binadamu aliyekuwa sawa kiuwezo na wao.Hivyo akaja kuwaasi akawatoroka akaenda kuishi mabara mengine.
Baada ya kufanya kosa kumpa uwezo binadamu sawa na wao.wakaamua kutengeneza kiumbe dhaifu atakayewaheshimu milele na kuwa mtumwa wao daima ambao ndio Adam na Hawa wakawekwa bustanini.
kuna mengi sana naomba kuishia hapa.
Mbona hitrel hakua na akili,mkuu ? ,hata during ww2 alikua akifanya maamuzi mabovu yaliyopelekea jeshi lake kushndwa,alikua na akili za kawaida tuAlien wapo na huwa wanaingiliana na binadam, na wanaozaliwa huwa binadam wenye akili sana. Walinzi wa us presidwa wale critical nasikia ni spicies ya hawa viumbe, hittler alikuwa mzazi mmoja alikuwa na dam ya alien, yesir arafat pia, waziri mkuu wa uk na wengine
Isue inayofanana na hii niliwahi kuisoma kwenye kitabu fulani kinaitwa Aliens visitation sikukisoma mpaka mwisho kwa sababu niliona kinanichanganyia madesa.Ila kinavyodai
Asili ya binadamu ni alliens waliofukuzwa katika sayari fulani ndipo wakaja duniani.Wakaanza kuishi chini ya ardhi ndo maana kuna underground tunnels kubwa sana zina miaka mingi sana duniani ambazo wanasayansi wengi wanajiuliza nani alizijenga.Baada ya hapo wakaenda kuishi bara la atlantis ambalo lilikuja kuzama mwanafalsafa Plato katika kazi zake za "Timaus" na "Critias" amelizungumzia sana bara la atlantis na kuzama kwake.Japo kuna watu sasa wanadai Antarctica ya Leo ndio Atlantis.Kiufupi Atlantis ndio yalikuwa makao makuu ya hawa aliens.
Baada ya kuishi Atlantis miaka mingi wakaamua kutengeneza kiumbe watakayemfanya awe mtumwa wao.Lakini wakakosea kwa sababu walitengeneza binadamu aliyekuwa sawa kiuwezo na wao.Hivyo akaja kuwaasi akawatoroka akaenda kuishi mabara mengine.
Baada ya kufanya kosa kumpa uwezo binadamu sawa na wao.wakaamua kutengeneza kiumbe dhaifu atakayewaheshimu milele na kuwa mtumwa wao daima ambao ndio Adam na Hawa wakawekwa bustanini.
kuna mengi sana naomba kuishia hapa.
Mbona hitrel hakua na akili,mkuu ? ,hata during ww2 alikua akifanya maamuzi mabovu yaliyopelekea jeshi lake kushndwa,alikua na akili za kawaida tu
Wapo sayari gani sasa
Hahahaha...hili swali Gumu sanaa chief...
Kwanini?
Diameter ya ulimwengu ni 10 bilion light years(yani mwanga kwa speed yake utatumia miaka bilioni 10 kutoka mwanzo mpaka mwisho wa ulimwengu(universe))
Jua linalo zungukwa na sayari hizi 8 au kama siyo 9 ni moja kati ya nyota zaidi ya bilioni 100 ambazo zinauwezo wa kuzungukwa na na haya mawe makubwa tunayo yaita sayari hizo nyota zikiwa zipo zinashikiliwa pamoja kwa nguvu inayoitwa dark matter ambayo hiyo pamoja na dark energy vinatengeneza zaidi 70% ya mass ya ulimwengu(universe).
Inasemekana hii dark matter inatoka nje ya ulimwengu wetu ambapo kuna uwezekano mkubwa ikawa inatengenezwa na ulimwengu zingine huko.kwasababu chanzo chake hakipo ulimwenguni hapa...
Sasa mkuu ukiuliza wako wapi wanaweza kuwa popote (nyota bilioni 100 zikiwa zinazungukwa mfano na sayari 4×100bilioni=400bilioni.sasa uwezekano wa kujua wako wapi ni 1/400bilioni ).asante
Ukweli mtupu!Wazungu ni wajanja sana mambo mengi wanaonyeshwa na lusifa, wakifanikiwa kuya tenda wana singizia niviumbe vinavyo itwa Alliens.
Hapa kuna conspiracy nyingi sana kuhusiana na hiyo Atlantis mpaka nashindwa nikujibu vipi na najua kila majibu yatakupa maswali zaidi ila kwa sababu tupo katika Uzi wa conspiracy acha twende nao tu.Ila nitakujibu kwa theory zinazohit sana.Mkuu did atlantis exist?? Na kwanni lilizama
Mmmmmmmmh...Alien wapo na huwa wanaingiliana na binadam, na wanaozaliwa huwa binadam wenye akili sana. Walinzi wa us presidwa wale critical nasikia ni spicies ya hawa viumbe, hittler alikuwa mzazi mmoja alikuwa na dam ya alien, yesir arafat pia, waziri mkuu wa uk na wengine
So wapo mpaka leo?Hakuna alien wala nini
Hao ni WANEPHILI WALIOPELEKEA MUNGU KUSHUSHA GHARIKA