Mpanda nyangobe
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 778
- 1,721
Habari zenu wadau wa jukwaa hili pendwa.. Nimekuwa nikisikia kuna viumbe wafananao na binadamu.Hawa viumbe inasemekana wanaishi sayari nyingine tofauti na sayari yetu ya dunia.. Inasemekana hawa viumbe hawaishi kwenye sayari yetu ya dunia
Inasemekana viumbe hawa wana I Q ya hali ya juu sana
Inasemekana wanateknolojia ya hali ya juu sana kuliko sisi binadamu wa dunia hii... Kumekuwepo na theories mbalimbali kuwahusu alliens..
Inasemekana pia kuna alliens waliowahi kutua hapa bongo... Any way elimu haina mwisho japo nina ka masters ka philosophy lakini kuhusu elimu ya hawa viumbe nipo mweupe kabisa.. Wajuzi karibuni kwa lectures
Isue inayofanana na hii niliwahi kuisoma kwenye kitabu fulani kinaitwa Aliens visitation sikukisoma mpaka mwisho kwa sababu niliona kinanichanganyia madesa.Ila kinavyodaiWe are the alliens wa zamani zaidi hapa duniani .Genes zetu zinaonesha kuwa na sehemu ambayo siyo ya hapa duniani.kwa hiyo wakiwepo wenzetu sita shangaa.labda tumewekwa hapa kwa scientific experiment yao.kwanini isiwe hivyo wakati binadamu wa kwanza kuwa binadamu kamili na kuishi kama binadamu alitokea miaka 3000,000 tu iliyopita lakini dunia ipo zaidi ya mabilioni ya miaka..
Kwa wakristo kitabu cha mwanzo ( in the begining God created the heavens and the earth.(NOW) the earth was fores and void) hili neno now ukili soma kutoka maandiko halisi ni renewal...kutengenezwa upya kwa kitu kilicho haribiwa...
Sasa maswali kama wenzetu wapo(alliens wapo au adamu na hawa ni watu wa kwanza duniani) ni maswali magumu lakini labda yanaweza kujibika.
Inasadikika na hakuna ukweli wowotw mpaka sasaHabari zenu wadau wa jukwaa hili pendwa.. Nimekuwa nikisikia kuna viumbe wafananao na binadamu.Hawa viumbe inasemekana wanaishi sayari nyingine tofauti na sayari yetu ya dunia.. Inasemekana hawa viumbe hawaishi kwenye sayari yetu ya dunia
Inasemekana viumbe hawa wana I Q ya hali ya juu sana
Inasemekana wanateknolojia ya hali ya juu sana kuliko sisi binadamu wa dunia hii... Kumekuwepo na theories mbalimbali kuwahusu alliens..
Inasemekana pia kuna alliens waliowahi kutua hapa bongo... Any way elimu haina mwisho japo nina ka masters ka philosophy lakini kuhusu elimu ya hawa viumbe nipo mweupe kabisa.. Wajuzi karibuni kwa lectures
Anhaa kumbe kablaya adamu na hawa walitengenezwa binadamu wengine wakatoroka sasa wako wapi mkuu kwa sasa na jee hawakupatikana tena(bali najua ni chai lakini wacha nijitoe ufahamu niulize tu)Isue inayofanana na hii niliwahi kuisoma kwenye kitabu fulani kinaitwa Aliens visitation sikukisoma mpaka mwisho kwa sababu niliona kinanichanganyia madesa.Ila kinavyodai
Asili ya binadamu ni alliens waliofukuzwa katika sayari fulani ndipo wakaja duniani.Wakaanza kuishi chini ya ardhi ndo maana kuna underground tunnels kubwa sana zina miaka mingi sana duniani ambazo wanasayansi wengi wanajiuliza nani alizijenga.Baada ya hapo wakaenda kuishi bara la atlantis ambalo lilikuja kuzama mwanafalsafa Plato katika kazi zake za "Timaus" na "Critias" amelizungumzia sana bara la atlantis na kuzama kwake.Japo kuna watu sasa wanadai Antarctica ya Leo ndio Atlantis.Kiufupi Atlantis ndio yalikuwa makao makuu ya hawa aliens.
Baada ya kuishi Atlantis miaka mingi wakaamua kutengeneza kiumbe watakayemfanya awe mtumwa wao.Lakini wakakosea kwa sababu walitengeneza binadamu aliyekuwa sawa kiuwezo na wao.Hivyo akaja kuwaasi akawatoroka akaenda kuishi mabara mengine.
Baada ya kufanya kosa kumpa uwezo binadamu sawa na wao.wakaamua kutengeneza kiumbe dhaifu atakayewaheshimu milele na kuwa mtumwa wao daima ambao ndio Adam na Hawa wakawekwa bustanini.
kuna mengi sana naomba kuishia hapa.
Satanism na illuminati ni vitu viwili tofautiHawa Aliens, (Watchers, au Guardians, ndio wanaotayarisha viongozi au Maraisi katika nchi ya US. Kupitia kikundi cha Illuminati au waweza kuita Freemasons, ndio Satanists (waabudu Ibilisi).