DNS ni kifupisho cha Domain Name System. Simply, inakuwezesha mtumiaji kutuma email na kubrowse mtandao. Kusolve tatizo lako inabidi ufanye DNS settings kwenye simu yako.
Sijawahi kutumia hiyo simu so sijui settings zake zimekaaje, ila somewhere kwenye settings kutakuwa na option ya kuset DNS, (may be iko automatic or ...) ukiipata nakushauri utumie DNS ya google ambayo ni 8.8.8.8, iko reliable kuliko open DNS zingine.
:A S-coffee: