Tulia wewee
MSICHANGANYE JAMANIHii habari mbona imo humu kitambo tu.
BTW hamna jipya.
Mwandishi ameripoti kisnichi snichiβ..... mwanamme anayedhaniwa kuwa ni mume wakeβ.
I like this kind of reporting.
Upuuzi tu hakuna lolote.Ndio Maana Waislam wakizikwa huzikwa kwa kutajwa jina la MAMA sio BABA wanawake wanasiri kubwa katika hili..
Hakika Alla anawajua viumbe vyake..
πππππ Inaumiza sana kuambiwa ulikuwa unalea magarasa.Unaweza kuuua mtu na uchungu bado usikuisheeeTena jamaa wawatu wamuache wala wasimu-harass kabisa.
Tukio hili lingefanyika kitaani hata mimi ningemu-assist mshkaji