DNA inaniambia mtoto wa kiarabu ni wangu wakati wazazi wote waswahili

Nimepatwa na mshtuko baada ya kupata majibu ya DNA yakionyesha mtoto niliekuwa na wasiwasi nae kwamba nimebambikiwa ni wakwangu tena kwa asilimia 99.99%.....ilikuwa hivi, mimi ni mtanzania kabila mpare na nimeoa mwanamke wa kirangi tuliejaaliwa kupata watoto wanne, wakiume watatu na wakike mmoja....chakushangaza mtoto wetu wanne alitoka na nywele za kiarabu na ukimuangalia huulizi sababu ni mwarabu kabisa,,,nilichofanya ni kumchukua kisirisiri bila mama yake kujua na kwenda kumpima DNA nikitarajia majibu yakionyesha si wangu nianze sasa movement au step forward...
sasa nashangaa majibu yametoka eto mtoto ni wa kwangu kwa asilimia zote,,kwakweli nimepata maswali mengi kama ni kweli vipimo hivi ni sahihi ama lah...vilevile watu wengi wameniambia eti siku hizi jamaa hawa huwa wanadanganya na kukupa majibu ya uongo kuonyesha mtoto ni wa kwako hata kama si kweli ili kupunguza watoto wa mitaani sasa niko njia panda jamani nifanyaje katika hili? naomba mwenye uzoefu na hawa jamaa atueleze ukweli katika hili tafadhali

Yote hayo uliyodanganywa na jamaa huko mitaani juu ya hali hii huenda ikawa ni kweli. Ila hapa kuna mawili: La kwanza huenda huyo aliyempima mwanao ni ndugu na huyo mwanamke hivyo anamlinda kwa kukudanganya kwa kukuambia mtoto ni wako japo wewe si mwarabu. La pili hapa ambalo ni hali ya kawaida hapa Bongo ni hivi; huenda hiii mashine ni ya kichina na inatoa vipimo feki au aliyekupima si mjuzi wa hii kitu (DNA). Jaribu kwenda Muhimbili ama toka nje ya nchi kupima kama uwezo unaruhusu.
 
pole samaki pole, mwambie mume mwenza achangie matunzo/
 
chunguza kwa makini
kwa upande wa mkeo huenda
ana chembe2 za kiasi,hao wanapatikana
urangini,hua ni waarabu kabisa!huyo atakua
mwanao mlee kama wengine!

Ungejaribu kwanza kuangalia cheni ya ukoo wako au wa ndugu wa mkeo huenda kuda damu hiyo, inawezekana ipo lakini kwa mbali sana kiasi ambacho huwezi kutambua. fanya upelelezi huo. Na kama haipo basi ushauri wangu ni kwamba huenda ikawa ni rehma za mungu kwani ilishawahi kutokea kizazi cha wahindi walipata mtoto mweusi na nywele za kiafrika kabisa hadi watu wakashangaa sana. sasa kama kwa hao iliwezekana basi huenda hata wewe kwako ikawa inawezekana.

Staryte - Elimu, Burudani na Maendeleo
 
Ongea na mzazi wako wa kike vizuri anaweza kukupa mengi yatakayokushangaza. Believe me,
Acha kumnyanyapaa mtoto
 
Nimepatwa na mshtuko baada ya kupata majibu ya DNA yakionyesha mtoto niliekuwa na wasiwasi nae kwamba nimebambikiwa ni wakwangu tena kwa asilimia 99.99%.....ilikuwa hivi, mimi ni mtanzania kabila mpare na nimeoa mwanamke wa kirangi tuliejaaliwa kupata watoto wanne, wakiume watatu na wakike mmoja....chakushangaza mtoto wetu wanne alitoka na nywele za kiarabu na ukimuangalia huulizi sababu ni mwarabu kabisa,,,nilichofanya ni kumchukua kisirisiri bila mama yake kujua na kwenda kumpima DNA nikitarajia majibu yakionyesha si wangu nianze sasa movement au step forward...
sasa nashangaa majibu yametoka eto mtoto ni wa kwangu kwa asilimia zote,,kwakweli nimepata maswali mengi kama ni kweli vipimo hivi ni sahihi ama lah...vilevile watu wengi wameniambia eti siku hizi jamaa hawa huwa wanadanganya na kukupa majibu ya uongo kuonyesha mtoto ni wa kwako hata kama si kweli ili kupunguza watoto wa mitaani sasa niko njia panda jamani nifanyaje katika hili? naomba mwenye uzoefu na hawa jamaa atueleze ukweli katika hili tafadhali
Nyie wapare si mnajifanya vijogoo? Sasa umepatikana mtani-muosha huoshwa
 
Nani anayejua Adam na Hawa walikuwa na rangi gani na ikawaje ikaja kutokea watu weusi, wazungu, wahindi, waarabu n.k? Labda mwanzo wake ni kama huo wa kwako.
 
Sasa ushapima umeambiwa mtoto ni wako lea tu tatizo ulishajijengea si wako ata ivo DNA za tz mi siziamini cha msingi lea mtoto mkeo keshazaa 3 adi uyo wa 4 c kazi ndogo wewe hujawahi kuona waafrika wamezaa mzungu ?
 
Nimepatwa na mshtuko baada ya kupata majibu ya DNA yakionyesha mtoto niliekuwa na wasiwasi nae kwamba nimebambikiwa ni wakwangu tena kwa asilimia 99.99%.....ilikuwa hivi, mimi ni mtanzania kabila mpare na nimeoa mwanamke wa kirangi tuliejaaliwa kupata watoto wanne, wakiume watatu na wakike mmoja....chakushangaza mtoto wetu wanne alitoka na nywele za kiarabu na ukimuangalia huulizi sababu ni mwarabu kabisa,,,nilichofanya ni kumchukua kisirisiri bila mama yake kujua na kwenda kumpima DNA nikitarajia majibu yakionyesha si wangu nianze sasa movement au step forward...
sasa nashangaa majibu yametoka eto mtoto ni wa kwangu kwa asilimia zote,,kwakweli nimepata maswali mengi kama ni kweli vipimo hivi ni sahihi ama lah...vilevile watu wengi wameniambia eti siku hizi jamaa hawa huwa wanadanganya na kukupa majibu ya uongo kuonyesha mtoto ni wa kwako hata kama si kweli ili kupunguza watoto wa mitaani sasa niko njia panda jamani nifanyaje katika hili? naomba mwenye uzoefu na hawa jamaa atueleze ukweli katika hili tafadhali

Mkuu nashindwa kuchangia chochote maana ulishapima na majibu ndo yako hivyo kama ulivyosema. Labda kwa kuwa unaonyesha wazi kuwa majibu haukubaliani nayo, nakushauri nenda kampime kwa mara nyingine tena. Kama majibu yatakuwa ni yale yale, endelea na malezi maana mwana ni wako. Kama yatakuwa tofauti, inaweza kuwa hosp wakawa walichanganya sampuli za vipimo (ingawa kufanya kosa kama hili kwenye vipimo nyeti na muhimu kama hivi ni vigumu sana ingawa ni ukweli usiopingika kuwa huko huko hosp waliwahi kumfanyia mtu upasuaji wa kichwa badala ya mguu!!!) na hivyo unaweza kuendelea na taratibu ulizotaka kuzichukua (Sijui ni zipi, najisikia kuogopa!).

Kila la kheri!
HP
 
Nimepatwa na mshtuko baada ya kupata majibu ya DNA yakionyesha mtoto niliekuwa na wasiwasi nae kwamba nimebambikiwa ni wakwangu tena kwa asilimia 99.99%.....ilikuwa hivi, mimi ni mtanzania kabila mpare na nimeoa mwanamke wa kirangi tuliejaaliwa kupata watoto wanne, wakiume watatu na wakike mmoja....chakushangaza mtoto wetu wanne alitoka na nywele za kiarabu na ukimuangalia huulizi sababu ni mwarabu kabisa,,,nilichofanya ni kumchukua kisirisiri bila mama yake kujua na kwenda kumpima DNA nikitarajia majibu yakionyesha si wangu nianze sasa movement au step forward...
sasa nashangaa majibu yametoka eto mtoto ni wa kwangu kwa asilimia zote,,kwakweli nimepata maswali mengi kama ni kweli vipimo hivi ni sahihi ama lah...vilevile watu wengi wameniambia eti siku hizi jamaa hawa huwa wanadanganya na kukupa majibu ya uongo kuonyesha mtoto ni wa kwako hata kama si kweli ili kupunguza watoto wa mitaani sasa niko njia panda jamani nifanyaje katika hili? naomba mwenye uzoefu na hawa jamaa atueleze ukweli katika hili tafadhali

DNA haisemi uongo kaka, huyo atakuwa ni mwanao kweli ila ili moyo wako utulie waweza kucheki tena nje ya nchi hata hapo Nairobi au Kampala uhakikishe....

kuna siku moja nilisoma mahali wazazi wazungu walizaa mtoto mwafrika mweusi tii, hawakuamini wakacheki DNA wakaambiwa kuwa ni mtoto wao halisi mama hajachakachua...ila wazungu wanajua utafiti so madaktari wakaanza kutafiti kwa nini hawa wazungu wamezaa mtoto mwafrica pure? katika utafiti wao wakagundua kuwa kizazi cha 18 cha baba wa mtoto kilikuwa cha watu weusi(watumwa), so babu wa 18 nyuma alikuwa mwafrica...
sasa hawa madaktari wetu wakishakupa majibu basi hawana cha utafiti wala nini........actually wao wangetakiwa kujua kwa nini mtt mwarabu wazazi waafrica wakutoe hofu...
 
Nimepatwa na mshtuko baada ya kupata majibu ya DNA yakionyesha mtoto niliekuwa na wasiwasi nae kwamba nimebambikiwa ni wakwangu tena kwa asilimia 99.99%.....ilikuwa hivi, mimi ni mtanzania kabila mpare na nimeoa mwanamke wa kirangi tuliejaaliwa kupata watoto wanne, wakiume watatu na wakike mmoja....chakushangaza mtoto wetu wanne alitoka na nywele za kiarabu na ukimuangalia huulizi sababu ni mwarabu kabisa,,,nilichofanya ni kumchukua kisirisiri bila mama yake kujua na kwenda kumpima DNA nikitarajia majibu yakionyesha si wangu nianze sasa movement au step forward...
sasa nashangaa majibu yametoka eto mtoto ni wa kwangu kwa asilimia zote,,kwakweli nimepata maswali mengi kama ni kweli vipimo hivi ni sahihi ama lah...vilevile watu wengi wameniambia eti siku hizi jamaa hawa huwa wanadanganya na kukupa majibu ya uongo kuonyesha mtoto ni wa kwako hata kama si kweli ili kupunguza watoto wa mitaani sasa niko njia panda jamani nifanyaje katika hili? naomba mwenye uzoefu na hawa jamaa atueleze ukweli katika hili tafadhali

Hapo katika red kwa uelewa wangu mdogo nahisi kama una mipango mingine tayari, hao watoto wote watakuwa wa kwako na mshukuru mungu kwa kukubariki
 
Yote hayo uliyodanganywa na jamaa huko mitaani juu ya hali hii huenda ikawa ni kweli. Ila hapa kuna mawili: La kwanza huenda huyo aliyempima mwanao ni ndugu na huyo mwanamke hivyo anamlinda kwa kukudanganya kwa kukuambia mtoto ni wako japo wewe si mwarabu. La pili hapa ambalo ni hali ya kawaida hapa Bongo ni hivi; huenda hiii mashine ni ya kichina na inatoa vipimo feki au aliyekupima si mjuzi wa hii kitu (DNA). Jaribu kwenda Muhimbili ama toka nje ya nchi kupima kama uwezo unaruhusu.
nakubaliana nawe kabisa .hapa bongo kila kitu usanii,bora akapimie hata nairobi kuliko hapa bongo,utapewa majibu feki tu.
 
Katika sekta yeyote unapomweka mtu kwa upendeleo kwa kuwa ni mtoto wa mjomba basi ujuwe usanii hautakwisha.
 
DNA hua haiwezi toa majibu kwa asilimia ulizo ziainisha mara nyingi..huwa ni zaidi ya nusu au chini ya nusu i.e 60,67 etc lakini 99.9 ni kali ila siwezi kukubaliana na wewe wala kukataa..!!!
 
Ulaya siku hizi lazma wazazi wote wawili wapimwe DNA.
Nilisoma katika news paper mzungu na mke wake wa kizungu walizaa mtoto mweusi au mchanganyiko kama Baraka Obama.

Mwanamme akamkataa mtoto na kusema si wake.

Mkewe nae akasema anashangaa kwanini kapata mtoto rangi ingine, hajawai kuingiliana kimapenzi na mwanamme mwingine zidi ya mumewe. Yule baba akasema waende wakapime DNA.
DNA ikaonesha mtoto sio wa yule mama, lakini DNA ikaonesha mtoto wa yule baba.
Wakajiuliza inawezekanaje? hawakuamini. ilikuwa miujiza kwao.

Yule baba alifanya mapenzi na mwanamke mweusi, yai la mwanamke mweusi likamganda ktk mlija wake au ngozi zake sehem za siri alafu akarudi nyumbani na kufanya mapenzi na mkewe, na kumuingizia mkewe lile yai la mwanamke mweusi ktk mfuko wa uzazi wa mkewe wa kizungu. Mimba ikaganda.

Mambo ya DNA imeonesha kwamba kuna wanawake wengi ulimwenguni wanabeba mimba si zao, yai la mke mwingine na kuzaa na kulea watoto si wao.

Inabidi mukapime wote, pengine kabambikiwa mtoto si wake hospitalini, au wewe ulimletea yai la mwanamke mwingine ambae dam yake nyeupe iliochanganyika na kiarabu. Linaweza likakugeukia hilo.
Kazi unayo mzee
 
Nimepatwa na mshtuko baada ya kupata majibu ya DNA yakionyesha mtoto niliekuwa na wasiwasi nae kwamba nimebambikiwa ni wakwangu tena kwa asilimia 99.99%.....ilikuwa hivi, mimi ni mtanzania kabila mpare na nimeoa mwanamke wa kirangi tuliejaaliwa kupata watoto wanne, wakiume watatu na wakike mmoja....chakushangaza mtoto wetu wanne alitoka na nywele za kiarabu na ukimuangalia huulizi sababu ni mwarabu kabisa,,,nilichofanya ni kumchukua kisirisiri bila mama yake kujua na kwenda kumpima DNA nikitarajia majibu yakionyesha si wangu nianze sasa movement au step forward...
sasa nashangaa majibu yametoka eto mtoto ni wa kwangu kwa asilimia zote,,kwakweli nimepata maswali mengi kama ni kweli vipimo hivi ni sahihi ama lah...vilevile watu wengi wameniambia eti siku hizi jamaa hawa huwa wanadanganya na kukupa majibu ya uongo kuonyesha mtoto ni wa kwako hata kama si kweli ili kupunguza watoto wa mitaani sasa niko njia panda jamani nifanyaje katika hili? naomba mwenye uzoefu na hawa jamaa atueleze ukweli katika hili tafadhali

Chukua rafiki yako aende naye kama yy ndo baba apime DNA then majibu yakitoka kama ni wake utajua wanachakachukua majibu kama si wake hakuna uchakachuaji kama unavyodai.. Kazi kwako
 
Chochote kile kinaweza kuwa ni kweli,kwamba eiza ni wako au si wako kwa kufuata suala zima la urithi from DNA,genes zinasavaivu vizazi kadhaa kama ulivoambiwa na baadhi hapo juu,na jua kuwa rangi ya ngozi NYEUSI ni DORMINANT/TAWALA na NYEUPE ni RECESIVE/DHAIFU,i.e ili upate NYEUSI inahitajika kuwa nusu NYEUSI tu toka kwa mzazi mmoja,na ili kupata NYEUPE basi lazima kuwe na NYEUPE tupu toka kwa wazazi wote wawili,mfano;
B = Nyeusi
b = Nyeupe
Ukiwa na mchanganyiko ufuatao utakuwa na rangi zifuatazo
1) BB = NYEUSI
2) Bb = NYEUSI
3) bb = NYEUPE(i.e itapatikana endapo wazi wote kwa muonekano ni weusi ila geneticaly wana Bb).
Ila kama bado huamini kuwa labda mtoto si wa kwako,jaribu kipimo rahisi na nafuu/bure kabisa,i.e BLOOD GROUP,mpime mtoto sehemu tofauti,kapime yako sehemu nyingine kisha ujue na group ya mkeo,kama wazazi mtakuwa kama ifuatavyo
1) AB - Mtapata watoto wenye A,B au AB tuu.
2) AA - Mtapata watoto wenye A tuu.
3) BB - '' '' '' B '' .
4) AO + AO au BO + BO - '' '' '' A na O au B na O tuu.
5) AA,BB,AB + damu yoyote ile hautoweza pata mtoto mwenye O.
6) OO + OO = Watoto wote watakuwa O tupu.
Ol ze best,ila omba kama si wako basi na huyo mwenye huyo mtoto asitokee kuwa na exact BLOOD group kama yako,hapo itabidi urudi kwa DNA tuu.
 
Mbona kawaida tu tena kuna wenzio walipata mtoto wa kizungu huko nigeria hadi macho yake yalikua ya blue. So kwa vile umepima amini hayo majibu hayana utata. Lea mwanao kwa amani ndugu. Kwa taarifa zaidi jaribu google huko utapata habari nyingi tu na utajiridhisha.
 
Chukua rafiki yako aende naye kama yy ndo baba apime DNA then majibu yakitoka kama ni wake utajua wanachakachukua majibu kama si wake hakuna uchakachuaji kama unavyodai.. Kazi kwako

duuuh kaka hii nayo nzuri sana.
 
Back
Top Bottom