DNA & hobbies

DNA & hobbies

Mabadiliko au tofauti hz zmesababishwa na mazngra ila kwa mda mtefu saaana
 
Ukisoma majibu yako utagunduanyamejikita kwenye suala zaidi ya moja na ndio maana ninejibu hoja kwa hoja....

Hilo ka kasoro nakushauri hebu rudia ulichoandika kisha usome halafu utaona ni namna gani tofauti unayotaka kuiingiza hapo vile ambavyo hukua unamaanisha tofauti....

Sawa mkuu, basi kama imekuwa ngumu kumeza suala la DNA tumwachie Mungu mwenyewe, na ndo wale wasioamini uwepo wa huyu mtenda miujiza waamini sasa.
 
By Eiyer

"…Sasa kama tuna chanzo kimoja na sisi
tunarithi hivi vinasaba kutoka kwa
wazazi na wazazi walirithi kutoka kwa
wazazi wao, nao wazazi wa wazazi
wetu walirithi hivyo hivyo na kuendelea,
inakuwaje vinasaba hivi vinakuja
kutofautiana kwa mtu mmoja hadi
mwingine wakati chain yetu
inatuelekeza kwenye chanzo kimoja?…"

Mkuu nahisi Jibu la no. 2 ndilo jibu la no. 1.

Ktk soma soma zangu nimejikuta kupata jibu la no. 2. ambalo najiandaa kuliandika hapa chini. wait.....
 
Last edited by a moderator:
Jana nilikuwa immigration office na katika kusubiri huduma za fingerprints mmoja wa wadau pale akauliza. Hivi fingerprints za binadamu wote duniani ni tofauti?...
 
Hili la DNA linahitaji wataalamu haswa, kuna kipindi nilisoma kuhusu Mt-DNA na Y-DNA, lakini sikuelewa vema.
 
Ni kweli mtoto anazaliwa na wazazi wenye hobby fulani but yeye akawa na hobby tofauti kabisa, na hobby hiyo inaweza isiwe kwenye chakula tu but ikajikita kwenye nyanja nyengine tofauti tofauti.

Iko wazi kwamba binadamu ni muonganiko wa vitu viwili; 1 nyama/mwili 2 ni roho or spirit.

Mtoto akizaliwa na suala zima la DNA linajikita ktk mwili or nyama, na hapo mtoto hurithi vinasaba kutoka kwa wazazi kwa connection ya sperms na oval/ovari.

Roho chakula chake ni energy. roho ikiwa ktk mwili inapokea energy kwa njia mbili: 1 energy within ambayo inasababishwa na virutubisho vya chakula. 2 energy from out side kwa lugha nyepesi hapa tuseme 'Hewa'

Jee kwanini hobby ya mtoto inaweza kutofautiana na ile ya wazazi wao?

Jibu ni kwamba spirit hairithiwi. kila spirit iingiayo kwa mtoto inakuwa pure, pure kabisa in a sense that all spirits are the same.

Nini kinatofautisha then?

Mtoto anapozaliwa, i mean ule mda ambao mtoto anazaliwa ndio kwa mara ya kwanza spirit yake inaanza kupata energy through 'hewa' hewa ambayo anaipata pale Ndio inamshep kuwa na mitazamo, hobbies na utofauti mwingi tu wa kifikra. In other words hewa iliyomshep yeye ni tofauti na ni unique ukilinganisha na ya mtu mwengine yeyote.

Inakuwaje watoto wawili wakizaliwa mda mmoja?

Watafana hobbie na tabia kwa kiasi kikubwa but pia watatofautiana kutokana na vitu vitatu vikuu. 1 jinsia, 2 malezi na 3 experience. ukumbuke si kitu kimoja kinachoinfluence tabia na hobby ya mtu.

Tuanze na hapo. najua kuna maswali kama mia yanakuja. hahahahaaaaaa! Uliza chochote kuhusiana na nilichokiandika hapo.
 
Eiyer, what a wonderfully written article! I am so happy that science will eventually PROVE our Creator!. Ngoja nitengeneze majibu thabit.

Nitaanzia na DNA, Kiufupi ninasema kuwa DNA is God's language. It has been found that DNA consists of a four bit digital code, inter-alia, such code cannot possibly be changed in a gradual manner as envisioned by Charles Darwin. Consequently, to alter and or amend batches of code would require either extreme outside intelligence, and even more so and simultaneously, to implant automatic rules (which appears to be the case) that would permit variations without damage.

That is why I am saying, DNA is God's language. Eiyer, through this thread "DNA", I will prove God's existence.

Dah! we mjamaa kila kitu unamsakizia Mungu.
 
Dah! we mjamaa kila kitu unamsakizia Mungu.
Unafahamu maana ya kusingizia, au kuto kujua kwako unafikiri ndio ufahamu? Siku utakapo jua kuwa hufahamu ndio utaanza kujifunza, at the moment upo kwenye roller coaster.

God is the founder of everything. Huwezi nithibitishia kuwa nothing came to exist by itself, yes I said nothing. Hutaweza kama ambavyo akina Kiranga walivyo shindwa na kuanza kutumia ignore list. Kama upo tayari kujadili, lets boogie.
 
Majibu yako sio kwamba hayajanisaidia bali sijayaelewa...

Hebu tafuta muda uje hapa utueleze kwa kirefu mkuu....!!

sorry kwa kichelewa kukujibu, majukumu yanabana. haukuelewa kitu gani ?
 
Back
Top Bottom