martial jb
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 864
- 1,464
- Thread starter
- #21
Sijadharau logistics mkuu,We ndo unaona hiyo sijui engineering Ina nin cha maana? Bora usome shipping and logistics kidogo Ina soko utakuja sugua mtaani uanze lawama...kakomae na masomo then uje kuzunguka na bahasha kwa taarifa yako hiyo shipping and logistics kwa waliosoma DMI wako mbali wengi kuliko iyo engineering punguza dharau umepewa ushauri unaleta mbwembwe yaani madogo mna moto sana.