martial jb
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 864
- 1,464
Habari wakuu
Kuna hichi chuo cha DMI posta Dar es Salaam, kinaendesha mbinu za kijanja au za kihuni kwa ajili ya kupata wanafunzi wa kuwadahili, DMI wanadahili wanafunzi wa mechatronics engineering, mechanical and marine engineering, oil and gas engineering, marine engineering na pia naval architecture and offshore engineering kwa wanafunzi wa PCB ambao wana basic mathematics, na hii inatokana na wao kutoa vigezo vyao kwenye TCU guide book vya kudahili wanafunzi hao wa BAM.
Wanafunzi hao wakifika chuoni pale wanaambiwa hawana vigezo vya kusoma kozi hizo kutokana na sheria za TCU kwa kuwa hawana pure maths, na wanakushauri usome vikozi vyao vya hapa na pale kama shipping and logistics management au procurement.
Ukiwauliza inakuwaje taasisi kubwa kama hiyo inafanya mambo kama hayo wanasema eti system ilifeli ikawa inadahili tu wanafunzi bila kuzingatia vigezo.
Sasa mwaka huu nimeangalia TCU guide book labda itakuwa imerekebishwa nimeikuta iko vileve upande wa DMI nikajua kumbe hii ni trick yao ya kupata wanafunzi. Kwa kweli ni uonevu.
At that time mwanafunzi anakuwa ameshapoteza muda na ishakuwa too late anabaki hana la kufanya, kw kweli inasikitisha sana naomba TCU muangalie vyuo vyenye tabia hizi.