Dkt. Wilsom Mahera simamia msimamo wako


Unajua maana ya impartial.....!!?
au ww ni std 7?
 


Tuacheni upuuzi tunapoelekea si pazuri! Hao wote kwa pamoja wanaoshirikiana kukipitisha chama tawala uchaguzi huu watatupeleka pabaya! CCM inabidi ielewe watanzania wameichoka si kwa sababu ya vyama vya upinzani bali ni kutokana na ugumu wa maisha waliyouleta dhidi ya raia.
 
Tufahamishe Kama tume inamamlaka ya kuiamrisha polisi kuchukua,hatua na pia kwanini itumia maneno yenye kulenga upande Fulani? Na kwanini isichukue hatua sawa kwa wanaokiuka kanuni?
 
The Hague ni lugha ya Kukaririshwa tu, haiwezi kuisumbua Tanzania!
Hatufanyi Uchaguzi kwa kutishiwa na Wazungu wa huko hague, Tunafanya kwa kufuata Matakwa ya Sheria
Tume yetu ni Adilifu, Msio na maadili mtaimba sana ngonjera
haya maugoro nenda ukalishane na mataga wenzako.
 

https://www.facebook.com/
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…