Dkt. Wilsom Mahera simamia msimamo wako


Ni msimamo wake au wa kupewa?
 
Huyo Mahera asimsmie msimamo upi ? Wa kuvuruga uchaguzi? Anawaambia upinzani watangaze sera watu wanataka maji , miundombinu , afya haya Sasa sera Safi kabisa kutoka kwa baba yake mbona yeye hamwambia wananchi wanataka nini?View attachment 1585385
Wewe umesikia ulichotaka kusikia rudi kasikie na vingine
 
Unaandika kwa aya vizuri kumbe umeandika pumba tupu!

Eti wananchi wanataka umeme na barabara nzuri!Tokea lini mkurugenzi wa tume akawa msemaji wa wananchi?
kama anajua wananchi wanachokitaka hakuna haja ya uchaguzi atuteulie rais wa awamu ya sita.
 

Mahela, shikilia hapo hapo. Mpaka Tundu lizibe.
 
Hakuna haki hakuna amani..ni uwoga tu
 
Akicheza na uchaguzi ajiandae dunia inafatilia kila kitu
 

Attachments

  • Screenshot_20200930_112839.jpg
    89 KB · Views: 9
Ujinga huuu una mwisho wake na mwisho wake.ni mwaka huuu 28th oct 2020.
 
Kumwambia mtumishi hawajaongezewa mshahara kwa miaka 5 ni kupandikiza chuki?
Kusema uwanja wa ndege umejengwa chato bila kufuata sheria za manunuzi ni kupandikizachuki?
Kudai uhalali wa vitambulisho vya wamachinga kwamba ni sawa na kodi ya kichwa ya mkononi ni kupandikiza chuki?
Kusema ataleta maendleo ya watu Badala ya vitu ni kupandikiza chuki?
mahela hajajipanga
 
Nafasi ya Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imepwaya. Nahisi kwa mara ya kwanza Tume ndo imempata Mkurugenzi aliyepwaya tangu kuundwa kwa NEC
Lazima apwaye, mpaka ajioe mikononi mwa Polepole et-al.
 

Paragraph ya pili kutoka chini ingeanza kwa kusomeka hivi " Naamini msimamo wako ndio wa mwenyekiti wako wa Chama Cha Mapinduzi JPM..."
Wacha kuzungumka mbuyu wewe!
 
Amani inaharibiwa na ukiukwaji wa sheria na upendeleo na sio vibaraka. Vibaraka ni ngumu sana kupata support kubwa wanayoipata sasa kwa wananchi kama kukiwa na haki, the problem that should be solved is within you MATAGAS
 
Paragraph ya pili kutoka chini ingeanza kwa kusomeka hivi " Naamini msimamo wako ndio wa mwenyekiti wako wa Chama Cha Mapinduzi JPM..."
Wacha kuzungumka mbuyu wewe!
Usiniwekee Maneno mdomoni, Nilichokiandika ndicho ninacho maanisha
 
huyo Mahere kuna pepo flani la The Hague limemuingia amejikuta anaropoka-ropoka.
The Hague ni lugha ya Kukaririshwa tu, haiwezi kuisumbua Tanzania!
Hatufanyi Uchaguzi kwa kutishiwa na Wazungu wa huko hague, Tunafanya kwa kufuata Matakwa ya Sheria
Tume yetu ni Adilifu, Msio na maadili mtaimba sana ngonjera
 
nayo yamesemwa na Mahera?
Mbona ule uongo wa kuwahadaa wananchi kuwa wakurugenzi,wanajipanga kumhujumu hujasema?
Mbona zile kampeni chafu za kuwapaka wagombea wenzie matope as if yeye ni malaika hujasema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…