Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Mgombea ubunge wa jimbo jipya la Uyole, jijini Mbeya, Dkt Tulia Ackson, amewaondoa hofu wananchi wa kata ya Iduda, kuwa ilani ya chama cha mapinduzi inaeleza namna itakavyo boresha miundombinu ya barabara inayounganisha kata hiyo na Mbeya vijijini hadi Rungwe ambayo imekua shida kwa wakazi wa maeneo hayo.
Soma > Uyole: Dkt. Tulia aahidi kujenga barabara ya lami kata ya Ilomba
Akinadi sera zake kwenye kata hiyo Dkt Tulia ameeleza namna watakavyoboresha miundombinu ndani ya kata ya Iduda na jimbo zima la uyole kama inavyoelekeza ilani ya chama cha mapinduzi CCM ya mwaka 2025-2030, kwa kujenga kwa kiwango cha lami barabara zote zinazounganisha maeneo ya kiuchumi.
Nao baadhi ya wananchi wa kata hiyo wamesema kwa kipindi cha miaka mitano mbunge wao amefanya mambo mazuri ikiwemo ujenzi wa miundombinu ya elimu na afya lakini awamu hii wanomba kuangazia jicho kwenye miundombinu ya barabara ambazo hazina hali nzuri.