Just Pray
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,142
- 4,779
Akiwa katika Muendelezo wa kampeni za Ubunge katika Jimbo la Uyole, Mgombea ubunge wa jimbo hilo dkt Tulia Ackson ameahidi kuboresha Elimu pamoja na Miundombinu ya barabara kama ilivyoelekezwa kwenye Ilani ya Uchaguzi Ya CCM
Akihutubia Mkutano wa Kampeni katika kata ya Iduda, Dkt Tulia amesema Serikali ya CCM imeshaanza kuboresha Elimu kwa kuhakikisha shule zinajengwa na waalimu wanakuwepo hivyo wananchi wanapaswa kuchagua wagombea wanaotokana na Ccm ili Chama hicho kiendelee kuboresha sekta hiyo Muhimu Nchini