FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 41,026
- 47,146
Nguvu yote hiyo ni ya nini wakati hata akigombea wapinzani hawaruhusiwi kutangazwa nyakati hizi??Aisee... hakika una piga kazi Mh. Dr. TuliaView attachment 998031
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa tunaomjua Sugu atafanya juu chini ampige mimba huyo mwanamke. Mwanamke yoyote akiingia anga za sugu anaishia kupigwa miti tu.Sugu huko alipo atakuwa ame fula kwa hasira... ana tamani kupasuka na ufupi uleee.... hahahahahahaaaa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Furaha ya mtu mmoja itasababisha nafsi za watu wengi kutengana na miili yao. Kulazimisha matokeo ya ushindi watakao umia sio Ukawa tu,maana fujo itatapakaa mji mzima. Mnao taka madaraka kwa machozi na damu tuepushieni hilo balaa, tuachieni Mbeya yetu.majibu utayapata 2020...
hata ukitaka tuweke dau nyumba mbilimbili... ktk hili hakika usisite...
ubishi wa porojo wengine hatupendi...
karibu kwenye kampeni...Nguvu yote hiyo ni ya nini wakati hata akigombea wapinzani hawaruhusiwi kutangazwa nyakati hizi??
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu kiongozi...Kwa tunaomjua Sugu atafanya juu chini ampige mimba huyo mwanamke. Mwanamke yoyote akiingia anga za sugu anaishia kupigwa miti tu.
Furaha ya mtu mmoja itasababisha nafsi za watu wengi kutengana na miili yao. Kulazimisha matokeo ya ushindi watakao umia sio Ukawa tu,maana fujo itatapakaa mji mzima. Mnao taka madaraka kwa machozi na damu tuepushieni hilo balaa, tuachieni Mbeya yetu.
Usikose..."MTAJITEKENYA NA KUCHEKA WENYEWE LAKINI SUGU NI RAIS NA MBEYA NI NCHI" Tulia anapoteza fedha bure Mbeya hapiti kwani hana MVUTO!!
Wanakera sana hawa watuAngekuwa mpinzani hapo, zamani ameshadakwa na kufunguliwa kesi ya kufanya mikusanyiko haramu..
Malori yaliyowaleta mbona huyaoneshi!!!Wana Mbeya nao hawa kubaki nyuma kuunga mkono juhudi...View attachment 998033
Sent using Jamii Forums mobile app