Dkt Slaa yupo nchini kweli?

Dkt Slaa yupo nchini kweli?

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
4,712
Reaction score
11,980
Mzee Slaa Hana Taarifa na yanayoendelea CHADEMA na Mahakamani?

March 23 aliwaomba radhi wanaCHADEMA na kuwakimbia na kuwataka wampokee. Na aliapa kupambana bega kwa bega kuiondoa CCM madarakani

Ghafla kimya imekuwa kimya, vipi tena Balozi Slaa?
 
Fuatilia mikutano yao.
 
watu wa sisiem mnapenda dana kukurupuka?
 
Mzee Slaa Hana Taarifa na yanayoendelea CHADEMA na Mahakamani?

March 23 aliwaomba radhi wanaCHADEMA na kuwakimbia na kuwataka wampokee. Na aliapa kupambana bega kwa bega kuiondoa CCM madarakani

Ghafla kimya imekuwa kimya, vipi tena Balozi Slaa?
Umekurupuka sana,Dr. Slaa yupo Kanda ya Victoria kwenye mikutano ya No Reforms No Election.
 
Mzee Slaa Hana Taarifa na yanayoendelea CHADEMA na Mahakamani?

March 23 aliwaomba radhi wanaCHADEMA na kuwakimbia na kuwataka wampokee. Na aliapa kupambana bega kwa bega kuiondoa CCM madarakani

Ghafla kimya imekuwa kimya, vipi tena Balozi Slaa?
Unakua mbumbumbu wa CCM alafu hata hufatilii taarifa.

Huoni mikutano ya CHADEMA, Silaha anavyopiga misumari?.
 
Back
Top Bottom