Dkt. Slaa yuko wapi?

Dkt. Slaa yuko wapi?

Yuko wapi huyu mzee?
Kabla ya kujiunga na ccm alikuwa member mzuri wa jf.
Hivi sasa yuko wapi?
Nakumbuka sana anavyopambana wakati Rais akiwa sio miongoni mwa yeye
kazee kanapiga vizinga hako dah!,

kametelekezwa na hawara yake, kametelekezwa na chadema, kamepuuzwa na taasisi ya SAUTI YA WANANCHI na kwa hivyo kamebaki hakaelewi mbele wala nyuma.

mbaya zaidi anampiga vizinga hadi heche ambae nae yuko na tabia hiyohiyo ya kupiga watu vizinga visivyoisha.

mateso ya kujitakia ni vitu nonsense sana aise kwenye maisha ya uzeeni
 
Yuko wapi huyu mzee?
Kabla ya kujiunga na ccm alikuwa member mzuri wa jf.
Hivi sasa yuko wapi?
Nakumbuka sana anavyopambana wakati Rais akiwa sio miongoni mwa yeye
Maisha ni mtihani Sana, Leo Jenista hayupo, Lukuvi hayupo Ndugai hayupo ila Dr Slaa anadunda
 
Back
Top Bottom