Dkt. Slaa: Tusitegemee muujiza kwenye kitu kinachoitwa Katiba

Siku alipozungumza upumbavu ule kuhusu Lisu kushambuliwa kuwa Ni Jambo la kawaida ndiyo nilijua Ni mpuuzi wa kiwango ngani na nilijuta kumheshimu siku zote za nyuma. Na Ni MNAFIKI ana msimamo kwa Jambo lenye faida kwake Ila siyo kuisimamia HAKI. Angalia anavyokwepa kuhusu unandamizaji vyama vya siasa kufanya mikutano huku ccm ikifanya. Ndiyo ujue huyu mzee Ni mpuuzi tu.
 
Ccm kwa kutunga upuuzi hamjambo na sijui kwanini?.alienda na ndege hahahaa. Lipumba alipelekwa Rwanda na nani? Na slaa alipelekwa Canada na nani? Slaa adi video zipo akiwa na mwakiyembe na jinsi wanavyopanga watafanyaje Ile press. Mkuu usituaminishe upuuzi wakati Kuna vitu tuliviona kwa macho yetu
 
Na umesahau alijiondoa chadema Kwa sababu muliwasafisha watu mliowaita mafisadi lowasa/sumaye na wengineo na mwenyekiti wa chadema kubadili Gia angani kumuuzia lowasa nafasi ya kugombea uraisi kupitia chadema
Si kweli.Aliondoka CDM kwa kununa baada ya "kutopewa" nafasi ya kugombea Urais.Mzee ni mroho na opportunist tu.Mviziaji tu!
 
Ni upuuzi kwako lakini ni ukweli kwetu. Usilete habari za Mwakyembe, kanusha kama Mnowe hakupokea Tsh 10 Billion.

Unaona tu Slaa akienda Canada na Lipumba akienda Rwanda lakini hutaki kukubali kuwa Mbowe aliuza urais kwa Lowassa. Poor You
 
Upadre ni Agano la Binadamu na Mungu binadamu ukilivunja UTAISHI MAISHA YA KUTANGATANGA mpaka Unakufa
Mkuu ukifuatulia ibada wanayofanyiwa hawa jamaa wakati wa kuwekwa wakfu, kwa kweli ukikiuka kiapo lazima udate! Dr. Slaa anatembea na laana ya kukimbia U-Padre shauri ya zinaa! Ndiyo maana anakuwa kama mgonjwa wa kichaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…