fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 11,109
- 19,988
Ukiangalia kwa umakini unaona mzee Dr Slaa anamsapoti mh. Rais katika issue ya kukabiliana na ubadhilifu na uchumi wa kifisadi ambao taifa lilikuwa likiegemea kwa kuwafaidisha wachache na wengi kuumia. Binafsi hata mimi namsapoti mkuu, kwa mzalendo wa kweli, mwenye nia ya kweli ya kuliweka taifa kwenye mstari mzuri nilazi angefanya hivi hivi. Hali hii ni matokeo baada ya hatua zilizochukuliwa na mkuu wa nchi kwamba ni lazima wengine waguswe katika hii transitional period.
Kweli rais ana mapungufu yake na mengine yako wazi lakini anahitaji support yetu katika kuitengeneza Tanzania njema kwa faida ya watanzania wote.
Kweli rais ana mapungufu yake na mengine yako wazi lakini anahitaji support yetu katika kuitengeneza Tanzania njema kwa faida ya watanzania wote.