MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,975
- Thread starter
- #21
Hakika Mkuu wangu.Mkuu MsemajiUkweli kutofautina kimtazamo ni afya ya akili na mijadala...Kuwa na mtazamo mmoja ktk mambo yote si afya njema.
Kwa kweli tunamkosa sana Mzee.Huyu alikuwa ni kielelezo cha siasa za upinzani Tz.Alikuwa mkali hata ndani ya chama cahke mwenyewe,ndani ya bunge na hata ktk Taifa.Tutamkumbuka sana
Tuendelee kulijenga taifa letu hili changa kiuchumi na kisiasa.