Elections 2010 Dkt. Slaa kushinda?

Mtu mwenye akili timamu hawezi kusema maneno kama haya: Unaposema maneno ya namna hiyo uwen ushahidi ama sivyo kule mwambao wa pwani wanasema ni umbeya wa kike
 
I wish it could be true!

Yaani we acha tu...Sina hata cha kusema. Na wala sijui nitaruka hadi wapi itakapokuwa Rasmi kwamba JK kwishnei!!!!

Ngoja nikalale kwanza....Mungu atupe uzima na hekima ili tumalizie hii kazi muhimu sana ya kuleta uhuru mpya Tanzania.
 
Wakuu mimi nimeshawaambia ya kuwa ushindi kwa Dr. Slaa uko wazi kabisa. Kila mtu niliyewasiliana naye katika kona mbalimbali ikiwemo vijijini anasema Slaa tu. Wamebaki wachache sana wale wanaonufaika na huu wizi wa maliasili za nchi yetu ndo wanamuunga mkono Kikwete. Yamkini hata wanachama wa CCM wenyewe wako wengi tu watakaompigia kura Dr. Slaa. Nani asiyetaka watoto wake wasome bure? Nani asiyetaka apate makazi bora? Nani asiyetaka apate huduma nzuri za afya bure? Nani asiyetaka kuona rasilimali za nchi zikiwanufaisha watanzania badala ya kundi dogo? Kwa maana hata kama wewe ni mwanachama wa CCM haikusaidii kitu kushabikia chama kinachomilikiwa na watu wachahche huku wewe ukiwa hoi taaabani kwa umaskini.
 
Nina amini ushindi wa slaa kuzidi ya huo uliotajwa na hao mashushu. Nasikia maoni ya watu kupitia bbc radio swahili, kwenye mabasi na habari za tv , zote hizo zimenipa matumaini ya zaidi ya asilimia 60. Nitaamka saa kumi na mbili kasoro asubuhi kwenda wahi foleni
 
hope Dr Slaa 50.2%, kikwete 46.8%, Prof Lipomba 2% na zilizobaka ni za wengine. This are my dreams
 
Hizi ni habari njema. Kila kona sasa ni DR. Slaa tu. Ushindi unanukia kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Nimeifuatilia compaign ya mwisho ya CCM pale Jangwani kupitia link moja iliyowekwa kwenye Internet. My take ni kwamba, ni wazi CCM wameweka mkakati mzuri kwa kukusanya Heavy-weight wao wote kuja kumpa support mgombea wao, lakini jinsi ninavyoamini kwa mpiga kura makini mpaka dakika ile anakuwa amekwisha make a commited decision ya nani atakaye mpigia kura. Hii ni natural law kwamba Maji hufuata mkondo na kwa wakati huu ni dhahili kwamba mikondo ishakuwa bayana.

Wale wanaoisupport kambi ya upinzani ya CHADEMA wanasababu maalumu zinazopelekea kuamini kwamba Dr. Slaa na kambi yake ndio suruhisho kwa ukombozi wa Nchi yetu. Binafsi sidhani kama ile campaign itakuwa na effect sana katika kupunguza kura za Dr. Slaa. Saa ya ukombozi ni sasa CHAGUA DR. SLAA na wenigine wenye mlengo CHANYA WA KIMAENDELEO..
 
Back
Top Bottom