Elections 2010 Dkt. Slaa kushinda?

JAH IS ALWAYS TO GUIDE OVER WE! TANZANIA NO PROBLEM! EVERTHING WILL BE AIRLIGHT....
SLEEP TITE N' WAKE UP EARLY FI POLL THE RIGHT.

''i know we know and they know that we know''

But who dem want us to act fool?
 
Kwani ana wasi wasi gani wakati Sin bin Clair amekwisha muandalia mahali pa kukaa kule Canada?

Hili ndio wengi hawalifahamu, JK anatapatapa tu...anajua amekwisha anguka na anajiandaa kukimbia nchi. Hapa hakuna cha kuchakachua wala jeshi kuchukua nchi hapa ni Dr. Slaa anaingia Ikulu kwa utulivu na amani...wakati huo JK akiwa hoi taabani hospitalini Montreal Canada.
 
Tunachosahau - tume ya uchaguzi inamilikiwa na walio madarakani - hivyo 'ushindi' ni dhahiri kwa JK kwani zitafanyika kila mbinu kuchakachua kura za urais na kuhakikisha JK anaibuka kidedea - kama hamuamini subirini matokeo - kilio na kusaga meno!
 
Kama huu mtazamo unatoka moyoni mwako basi unalitukana jina unalotumia hapa. Nachelewa sana kuamini kuwa kwa utashi wa jina lako unashabikia wezi, kwamba unapenda anayeshinda kibabe na siyo kwa demokrasia, hata sheikh wako alivyofundisha juzi kwenye Runinga juu ya demokrasia hukumsikiliza..

Wewe huamini katika ushindi kwa kura, na unashabikia mwizi!!!!!!! Halafu unajiita nani vile?????????

Duniani kuna mambo.....
 
Hili ndio wengi hawalifahamu, JK anatapatapa tu...anajua amekwisha anguka na anajiandaa kukimbia nchi. Hapa hakuna cha kuchakachua wala jeshi kuchukua nchi hapa ni Dr. Slaa anaingia Ikulu kwa utulivu na amani...wakati huo JK akiwa hoi taabani hospitalini Montreal Canada.

Sina mbavu kwa utani huu.
 
inaweza kuwa na ukweli kwa mbali maana leo saa 4:47:39 usiku nimepata mes kwa njia ya simu mtumaji JMKIKWETE inasema hivi
... "mimi JAKAYA M. KIKWETE. Nakutumia meseji hii kukuomba kura yako kesho. Katika miaka mitano iliyopita, umenipa heshima kubwa ya kuwa Rais wa nchi yetu. Nakuomba unipe tena heshima hiyo ili niendelee kukutumikia na kulitumikia taifa na watu wake..."

MY TAKE kama anauhakika wa kushinda kwa kishindo, kwanini mahangaiko yote haya? Nadhani UWT utakuwa umemtonya mzee siku zako za kula kuku ikulu zimeisha.
 
Kutokana na kampeni za Jangwani na huko Mbeya mabomu yalivyokwenda,na jinsi viongozi wastaafu walivyomkandia Slaa katika dakika za mwisho ni wazi kuwa dkt.Slaa katika uchaguzi huu ataanguka tu.
Au mwasemaje wapiga kura wenzangu?.

:ban::disapointed:
 
Habari hii ina ukweli. Msiwe na hofu mabadiliko ni lazima kwa sababu yako mioyoni mwa watu. Tuombe amani.
Habari hii inanipa matumaini sana. Japo niko mbali lakini ninafarijika sana ninapopata taarifa kama hizi. Naomba tu ziwe kwa kweli. Watanzania tuliopo Botswana tunawatakia uchaguzi mwema na kesho watu wote wakamchague Dr. Slaa.
 
Kuanzia kesho mara tu baada ya uchaguzi mimi nimewaahidi watanzania wenzangu huku ughaibuni kuwa sitalala tena mpaka matokeo ya Urais yatangazwe ili nisherehekee huku. Sherehe ya ushindi wa Dr. Slaa haitafikia kikomo hadi siku nitakayoikanyanga nchi mpya ya Tanzania. Mungu mbariki Dr. Slaa, Mungu wabariki wapiga kura wote wapenda haki na wapenda maendeleo ya kweli.
 
Back
Top Bottom