Jibuni hoja zake, msimshambulie yeye kama yeye
Hana hoja kabisaa? Sasa mtu atajibu nini?
Jibuni hoja zake, msimshambulie yeye kama yeye
Na Roze Kamili je???!!!Huyu nae atulie sasa watulizane na Josephine
Muhimu sasa ni kupiga Kura nchi nzima . Kujua walio na uhitaji wa katiba mpya au la.Hivi ni kwann mabadiliko ya katiba yanapingwa vita sana? Je wanaotaka mabadiliko ya katiba watafaidika? Au wanaipinga mabadiliko ya katiba hawatofaidika? Why?
Uzee umemwingia vibaya. Mambo aliyoyapigania kwa ngiuvu kubwa ktk ujana wake, anakuja kuyakana uzeeni.
akahangaike na mshumbusi aliyemkimbiaHana hoja tena, he is mentally exhausted, amezeeka apumzike tu.
Hizo ni imani za watu wengi kuamini kila aliyekuwa diaspora ana pesa.Slaa ana pesa wewe jamaa, kumbuka huyo ni Balozi
Huyu Mzee mbona anakosa busara kiasi hicho Yani Leo Dr Slaa kazidiwa busara na Waziri mkuu Mstaafu Mizengo Pinda kuhusu umuhimu wa katiba mpya kwa Nchi.Namwonea huruma Sana na hafai kuwa kiongozi Mana kwa unafiki kazidi .
Sasa si aombe tu msaada serikali wamsaidie kumpata mushumbuzi
Nini Sasa kitatatua matatizo yote unachokijua wewe na Huyo dakitari wako Ili tukifuate?Umemsikiliza lakini? Unaamini katiba mpya itatua matatizo yote ya TZ? Dk. kaelezea vizuri sana! Kwa sasa wapinzani wanataka mambo yote yasimame sababu ya katiba mpya, tumeishi miaka 60 kwa katiba hii hii na mambo yanaenda poa tu
Duuuh ,umeandika Nini?embu kaa chin tafakari kwa makini,tulia usiwaze chochote,Naungana na Dr slaa,katiba mpya ni hitaji la CHADEMA ambao wanaamini kabisa katiba mpya ndo itakayowaweka madarakani ,wamesahau kuwa katiba mpya ikiaandaliwa watekelezaji wake ni Hawa Hawa raia walipo ambao kwa uelewa wa Wana CHADEMA Ni kuwa hawaifuati katiba ya sasa ,so utashi wa kufuata au kutokuifuata ni wao.
Cha ajabu zaidi Ni pale wafuasi wa CHADEMA linapotokea swala la mtu kutokutimiza majukumu yake kikamilifu Basi wao wanakimbilia kusema suluhuhisho ya jambo Hilo ni katiba mpya,mfano Ni pale mtu anapolalamika kukosa chakula au kulala njaa wao watakuambia suruhu ya watu kulala njaa Ni katiba mpya ,je katiba mpya italeta chakula kwa wananchi au!!!?
Hapa nilichojifunza ni kuwa wafuasi wa CHADEMA ambao ndo wapiga debe wa katiba mpya hawajui maana,utendaji na mipaka ya katiba kutoka na elimu duni waliyo nayo!!!
Huyu mzee naye kachoka hana jipya tena amekuwa kama Prof Shivji
Dr. Slaa aliwahi kusema haki za binadamu sio kipaumbele. Halafu some fools wanasema kuwa Chadema walipoteza lulu!..dr.slaa amejuaje kuwa katiba mpya sio suluhisho la matatizo yetu wakati bado hatujapata katiba hiyo?
..wanaodai katiba mpya ndio wenye hoja kwasababu katiba hii ya mwaka 1977 imeshindwa kutatua matatizo yetu hivyo kupelekea kuwa na ulazima wa kuandika katiba mpya.
njaa haina baunsaAiseee maisha yanaenda kasi sana