CHADEMA wamekwsiha sema watasimamisha mgombea wa urais kwenye uchaguzi wa Oktoba 2010...taratibu za mchakato wa jinsi mgombea huyo anavopatikana ni utaratibu wa CHADEMA kama chama..sasa sijui unataka hapa JF uelimishwe nini?otherwise unge M PM Dr.Slaa moja kwa moja
Muda bado upo wa kutosdha kwa mujibu wa ratiba ya nominations ya NECI'm just concerned with the time left before the General Election....
Ubinafsi ndio tatito la CHADEMA,
Sasa hivi kila moja anajiweka sawa kwa ajili ya Ubunge... nani ana muda wa kufikiria chama au hata kuweka mgombea wa ura-hisi?
Kwa maoni yangu, wapeleke nguvu kwa wabunge kama wanavyofanya sasa na waachane na kiti cha ura-his.
Mkuu your two paragraphs are contradictory
Real?
Real?
Nadhani Ubinafsi si Jambo Zuri,Ubinafsi ndio tatito la CHADEMA
Hapa tena unawapongoza kwa kile unachokiita Ubinafsi na kuwaasa wafanye kile ambacho kwenye para ya Juu umekipondaSasa hivi kila moja anajiweka sawa kwa ajili ya Ubunge... nani ana muda wa kufikiria chama au hata kuweka mgombea wa ura-hisi?
Kwa maoni yangu, wapeleke nguvu kwa wabunge kama wanavyofanya sasa na waachane na kiti cha ura-his.
Chadema wakimsimamisha Slaa ndio itakuwa wanelekea kukiua chama, yaani hapa hakuna siri kwamba kuna chama cha upinzani kinachoweza kuchukua nchi kwa sasa, kwa hiyo Slaa akigombea ni wazi atashindwa na akishindwa ina maana hatakuwa sio mbunge tena, hivyo tutapoteza silahaa ya maana sana
ushauri wangu kama Chadema wakitaka kuweka mgombea basi ni bora wamweke ZITTO, kwani hata akikosa uraisi na ubunge atakuwa ameukosa na wapinzani hawatakuwa HAWAJAloose kitu,
Chadema wakimsimamisha Slaa ndio itakuwa wanelekea kukiua chama, yaani hapa hakuna siri kwamba hakuna chama cha upinzani kinachoweza kuchukua nchi kwa sasa, kwa hiyo Slaa akigombea ni wazi atashindwa na akishindwa ina maana hatakuwa mbunge tena, hivyo tutapoteza silahaa ya maana sana na mtetezi wa kweli wa wananchi.
ushauri wangu kama Chadema wakitaka kuweka mgombea basi ni bora wamweke ZITTO, kwani hata akikosa uraisi na ubunge atakuwa ameukosa na wapinzani watakuwa HAWAJAloose kitu,