Dkt. Slaa aomba ukimbizi Canada

Dkt. Slaa aomba ukimbizi Canada

Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
11,819
Reaction score
18,075
Habari za kutoka magazetini leo asubuhi itv zimesema kuwa Dr. Slaa ameomba ukimbizi huko Canada kwa madai kuwa maisha yake yamo hatarini Tanzania!

Swali: Ni nani huyo anayetishia uhai wa Dr.Slaa?
 
Mbona Kama Anatafuta Hadhi Ya Ukimbizi Wakati Tanzania Ni Salama Ama Dhambi Ya Usaliti Inamwandama
 
Kwahili sijamuunga mkono kiukweli
Atuombe radhi watanzania na ikibidi aombe uraia wa Canada tu
 
m nahisi canada pia sio salama angeomba ukimbizi Burundi,somali au apa jilani Congo pako safe kchiz.......!!
 
Habari za kutoka magazetini leo asubuhi itv zimesema kuwa Dr. Slaa ameomba ukimbizi huko Canada kwa madai kuwa maisha yake yamo hatarini Tanzania!

Swali: Ni nani huyo anayetishia uhai wa Dr.Slaa?
Kakimbia madeni huyo
 
Habari za kutoka magazetini leo asubuhi itv zimesema kuwa Dr. Slaa ameomba ukimbizi huko Canada kwa madai kuwa maisha yake yamo hatarini Tanzania!

Swali: Ni nani huyo anayetishia uhai wa Dr.Slaa?
Nilijua Ukimbizi baada ya nyumba kupigwa mnada kumbe maisha yake yapo hatarini? Kwa Bongo hata usipokuwa na adui yeyote maisha yako yapo hatarini sana,magonjwa maralia,kipindupindu,ajali barabarani n.k
 
Na wale walio bomolewa nyumba maisha yao yakoje?
Kwa tz maisha ya wananchi wao yako hatari kipindu pindu kwao tishio.Alafu hata akirudi tz pakufikia ndo hana
 
Msaliti mara 2...amesaliti Kanisa na amesaliti wana mageuzi na wapinzani woote duniani....laana haitamuacha milele!!!
 
Mbona habari zaidi zinasema kalamba ubalozi
au ni uzushi?
 
Back
Top Bottom