Dkt. Shaimaa Mohamed kutoka London Hospital iliyopo mkoani Dar es Salaam, katika Kongamano la Wanawake wa Dar es salaam, linalofanyika leo Oktoba 26, 2025, katika ukumbi wa mikutano wa DYCCC, Chang'ombe, ameelezaa kuwa hatua ya kutaka kufanya maandamano siku ya kupiga kura ni ishara ya kuwa maandamano hayo hayana heri
"Maandamano yanaruhusiwa kisheria, lakini mimi niweze kuwaambia wenzangu wanaopanga kufanya maandamano, maandamano yanaruhusiwa lakini kwanini siku ya uchaguzi ndio mpange kufanya maandamano? inamaana hayo maandamano hayana heri." amesema Dkt. Shaimaa.