Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,230
- 138,738
Tukipata kama bwana yule?My Take
Mpaka hapa tuna sababu ya kuitisha uchaguzi mwingine
Acheni upumbavu wa kushabikia vitu vya hovyo, nchi inauzwa mko busy na marehemu huo ni upunguani mkubwaTukipata kama bwana yule?
Yaani mtu kama yule kichaa wa Chato bora tubaki na huyu kiongozi wa sasa.
Uchaguzi haijawahi kuwa suluhisho Afrika,kifo labdaRais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo June 09,2023 amefungua na kushiriki Mkutano wa 14 wa Baraza la Biashara (TNBC), Ikulu Dar es salaam ambapo moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba yake ni kwamba kazi kubwa inaendelea kufanyika ya kuboresha mifumo ya TEHAMA kwenye Sekta za Umma ili ianze kusomana ambapo ameahidi kuwa sio zaidi ya miezi sita kinachotokea Bandarini atakuwa anaweza kukisoma akiwa Ikulu.
Rais Samia amenukuliwa akisema “Kazi kubwa inaendelea kufanyika ya kuboresha mifumo ya TEHAMA, mifumo yetu haisomani, taarifa hazioani, kazi tunayokwenda kufanya kwa nguvu kubwa sasa ni kufanya mifumo ndani ya Sekta ya Umma isomane pia iwe na vigezo vya Kimataifa”
“Changamoto zilizotajwa hapa hizo za Kariakoo na nini ni kwamba mifumo yetu haijaweza kuchukua taarifa zote hizo, kazi iliyopo sasa ni kuhakikisha mifumo yetu inabeba taarifa zote hizo ili tuweze kuwa na taarifa nyingi ambazo zitapelekwa kufanya maamuzi, hiyo ni kazi mbele yetu kwa upande wa Serikali na ninawaahidi nadhani sio zaidi ya miezi sita tutakuwa tunasoma kinachotokea Bandarini nakisoma Mimi Ikulu huku”
My Take
Mpaka hapa tuna sababu ya kuitisha uchaguzi mwingine
Kusoma nacho ni kipaji🙏Hiyo TEHAMA haitasaidia kitu ikuwa mtu huna hulka ya kusoma unacholetewa mezani.
Mkataba wa bandari sidhani kama aliusoma na mapungufu yake yote zaidi ya kuwaambia wasaidizi nendeni mkalitazame!
Hata juzi kati hapa kachomekewa jina la Katibu Tawala aliyemtumbua miezi kadhaa nyuma, leo jina linasoma kwanza ubini halafu majina mengine yanafuata ila mtu ni yule yule aliyefukuzwa kwa uzembe...hakugundua na wadaidizi washajua mapungufu yake wanamchomekea tuu kwa sabb hajiridhishi.
Katoa Boko kubwa sana mamaHana jipya mtu wenu
View attachment 2651220
Hana jipya mtu wenu
View attachment 2651220
nimewekwa wap mkuu hebu nijuzeNaandika nafuta naandika nafuta.
Ila kuna mtu ni kilaza nchii hiii sijui nani alikuweka pale
Sekta binafsi itatutoa kiuchumi endapo mikataba tutakayoingia ina nia ya kututoaHana jipya mtu wenu
View attachment 2651220
Alikuwa anatakiwa awauwe kabisa hamna maana yeyote..nyie mnayejiita wafanyakaziMimi naona akiondoka huyu mama atakuja mtu wa kubagua kundi fulani la watu ambao wapo kisheria, mfano yule Dikteta uchwara alitubagua sana Watumishi wa Umma kwa kuondoa maslahi yetu.
Ukimuangalia tu usoni anaonekana amechoka na ana majuto makubwa Sana moyoni mwakeHana jipya mtu wenu
View attachment 2651220