GE2025 Dkt. Rose Migiro: Rais Samia kuwa Katibu mkuu wa Kwanza wa kike ni alama CCM inazingatia Usawa Jinsia

GE2025 Dkt. Rose Migiro: Rais Samia kuwa Katibu mkuu wa Kwanza wa kike ni alama CCM inazingatia Usawa Jinsia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
844
Reaction score
1,607
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Asha Rose Migiro akizungumza na viongozi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Afisi Kuu za CCM, Kisiwandui, Unguja visiwani Zanzibar.



SOURCE: GLOBAL TV
 
Samia kaharibu hatuwaamini tena wanawake.
 
Asha hivi unalijua lile jemba likilofika Ikulu kwetu kujimwaya as if lipo gettoni kwake?
 
Asha Rose kaingia kipindi kibaya cha kisiasa no one is buying it. Ni vyema angekaa kimya maana anavyoendelea kuongea taswira tuliyokuwa tunaiona juu yake inazidi kupotea.Mama sasa hivi tumechokaaaaa tafadhali sana unazidi kutuumiza kichwa
 
Back
Top Bottom