Dkt. Reginald Mengi: Kamukara amefariki dunia katika mazingira yaliyosheheni utata sana

hiyo ndo spinning yenyewe mkuu.Wanapiga ndege wawili kwa jiwe moja,yaani hapo hapo spinning,hapo hapo character assasination ili habari yake ipuuzwe.Some people at work...

Wakuu hata mimi ninashangaa sana, akili zetu kaziazima nani asiezirejesha. Duniani kote ndo kupo hivi au ni sisi tu.
 
Tatizo liko wapi hata kama Mengi alikuwa ana-"sponsor" ufuatiliaji wa hiyo habari?

Naungana na wewe Kim, huyu babu mwenzangu ni mnafiki wa kutupwa, serikali imkamate na ahusike kwa kifo hicho, kuna maswali mengi ya kujiuliza, yeye Mengi alijueje kuwa Kamukala anafatilia hiyo habar? Ana maslahi gani na waandishi wa habar za uchunguz? Je mwandishi alikuwa anareport kwa Mengi mpka ajue kuwa marehem alikataa mamilioni? Kwanini Mengi ahusishwe kila mara kuichokonoa serikali? Ni muda mwafaka sasa serikali imshughulikie huyu mtu
 
Sidhani kama hiyo habari Kubenea haijui
unless ni uzushi but hai make sense Tanzania yetu kuwe na habari halafu mwandishi mmoja tu ndo anaijua

Hiyo ni habari ya kiuchunguzi we unadhaani ni habari ya mapenz kila mmoja anafahamu?
 
Mengi sasa atuambie hiyo habari tata iliyosababisha kuchukuwa uhai wake.
Nichukuwe fursa hii kuwambia wanasheria waangalie sheria inasemaje hapa
Anapojitokeza mtu na kusema kifo hiki kina utata na akatoa sababu.
 
Naomba wana habari watafute wanasheria wampeleke Mengi Mahakamani ili asaidie kuhusu hiki kifo cha mpendwa wetu Kamukara kilikuwaje
 
kama inahusu chadema ilikuwa lazima wamuue LABDA ALIKUWA ANAULIZIA MATUMIZI YA RUZUKU MBOYE KAMWAHISHA KAMA WANGEEEE WATARIME
 
Mkuu Komeo lachuma Vifo Vya Vilivyogubikwa Na Utata Vipo. Ukimwondoa Stan. Yupo Pia John Rutaisingwa, Kabendera Shinani, Masatu... .orodha Ni Ndefu Ni Wazi Sasa Kuna "ODESSA" TANZANIA.
 
Hongera mkuu. Watu wana chuki binafsi. Kwa kuwa hilo limedokezwa na Mengi basi anapuuzwa. Angesema Mzee tupa tupa wa lumumba angeungwa mkono. Watu wa usalama mzee Mengi ni msaada kwa uchunguzi wa kifo cha Kamukara (kama uchunguzi unahitajika).

Kwa hiyo waanze na huyo Mengi watapata habari nyingi na chanzo cha kifo. Mengi inabidi awasiaidie wana usalama kuna kitu anakijua
 
kama inahusu chadema ilikuwa lazima wamuue LABDA ALIKUWA ANAULIZIA MATUMIZI YA RUZUKU MBOYE KAMWAHISHA KAMA WANGEEEE WATARIME

mkuu nimambo mazito sana kuliko hayo uliyoyaandika. kunamgombea mmoja ni hatari balaa kutoka kwenye chama dola...
 
Nachukizwa sana na watu ambao linapokuja swala linalohitaji seriousness watu wanaleta mzaha, kubenea na Kamukara walikua wanafanya na kuandika investigated Journalism, na ndiyo contents za Mwanahalisi na Mawio, so mzee Mengi hawezi kukurupuka tu na kuongea bila kuwa na evidence. He might be correct, ni vyema tukasubiri yataibuka mengi, we all knows this Serikali.
 
Back
Top Bottom