Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,299
- 18,446
Yes,Makamu wa Rais, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amewasihi viongozi wa dini na Watanzania kwa ujumla kutumia kipindi cha toba cha Ramadhani na Kwaresma kuiombea nchi, viongozi wa serikali na vyama vya siasa ili kuendelea kujenga taifa lenye upendo, amani na mshikamano.
Makamu wa Rais amesema hayo mara baada ya kushiriki futari aliyoiandaa kwa ajili ya wananchi wa Mkoa wa Dodoma pamoja na viongozi wa serikali, taasisi za dini na Chama Cha Mapinduzi (CCM), iliyofanyika mkoani Dodoma.
Amesema jambo muhimu ni kuhakikisha hamasa ya mapenzi ya nchi inakuwepo kwa kila mmoja, huku chemchem ya uzalendo ikijengeka katika mioyo ya Watanzania ili waishi kwa kupendana na kushirikiana chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Aidha, Makamu wa Rais amesema moja ya mambo muhimu ya kufanya katika kipindi cha toba ni kumwahidi Mwenyezi Mungu kuwa kila Mtanzania atajitahidi kuwaunganisha Watanzania wenzake ili kuijenga nchi kuwa taifa moja lenye upendo.
Futari hiyo imehudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Masauni, Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, Waziri wa Madini Anthony Mavunde, wajumbe wa Kamati ya Maridhiano, viongozi wa dini, wabunge wa Mkoa wa Dodoma, wakuu wa wilaya pamoja na wananchi.
Wao si wanaiba, wanateka, wanabaka, wananajisi, wanapoteza na kuua raia wa Tanganyika? Basi sisi tunawaombea wapewe malipo stahiki ya maovu yao!Makamu wa Rais, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amewasihi viongozi wa dini na Watanzania kwa ujumla kutumia kipindi cha toba cha Ramadhani na Kwaresma kuiombea nchi, viongozi wa serikali na vyama vya siasa ili kuendelea kujenga taifa lenye upendo, amani na mshikamano.
Makamu wa Rais amesema hayo mara baada ya kushiriki futari aliyoiandaa kwa ajili ya wananchi wa Mkoa wa Dodoma pamoja na viongozi wa serikali, taasisi za dini na Chama Cha Mapinduzi (CCM), iliyofanyika mkoani Dodoma.
Amesema jambo muhimu ni kuhakikisha hamasa ya mapenzi ya nchi inakuwepo kwa kila mmoja, huku chemchem ya uzalendo ikijengeka katika mioyo ya Watanzania ili waishi kwa kupendana na kushirikiana chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Aidha, Makamu wa Rais amesema moja ya mambo muhimu ya kufanya katika kipindi cha toba ni kumwahidi Mwenyezi Mungu kuwa kila Mtanzania atajitahidi kuwaunganisha Watanzania wenzake ili kuijenga nchi kuwa taifa moja lenye upendo.
Futari hiyo imehudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Masauni, Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, Waziri wa Madini Anthony Mavunde, wajumbe wa Kamati ya Maridhiano, viongozi wa dini, wabunge wa Mkoa wa Dodoma, wakuu wa wilaya pamoja na wananchi.
Anatakiwa aeleze kiundani nchi iombewe kwenye aspect gani ili tujenge hoja yenye mashiko mbele za Mungu na kama tutabaini kwa jicho la kiroho kwamba hoja ya MAOMBI yenyewe itaishia kwenye dust bin huo muda ni heri tufanye mambo mengine tuKumwombea, kuiombea? Hiy kaul anapenda sana kuziongea yale yale ya magufur mniombee mniombe!! Nini kipo nyuma ya hiyo kauli
Acha mawazo potofu.Tusichoke kuiombea nchi iwe na amani ili watawala wazidi kujilimbikizia mali za umma 🔥
Seran tuanze maombi ya kuliombea taifaMaombi maombi maombi ni silaha ya kututoa kenge utumwani sio?
Wakati wao wanakula keki kwa siagi, na kupanga mapolisi kila kona ya mtaa tuendelee kuwatazama na kuwashangilia na misafara yao ya utumbuaji...
Hypnosis!
Eimeeen!
Kwakweli tukiombee sana🥲Seran tuanze maombi ya kuliombea taifa
HayaAcha mawazo potofu.
We understand Nchimbis dillema.Makamu wa Rais, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amewasihi viongozi wa dini na Watanzania kwa ujumla kutumia kipindi cha toba cha Ramadhani na Kwaresma kuiombea nchi, viongozi wa serikali na vyama vya siasa ili kuendelea kujenga taifa lenye upendo, amani na mshikamano.