Dkt. Mwigulu Nchemba: Watanzania tunapaswa kuishi kwa misingi ya upendo, unyenyekevu, haki na uwajibikaji

Dkt. Mwigulu Nchemba: Watanzania tunapaswa kuishi kwa misingi ya upendo, unyenyekevu, haki na uwajibikaji

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
261
Reaction score
199
Watanzania tunapaswa kuishi kwa misingi ya upendo, unyenyekevu, haki na uwajibikaji-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba.

📍Dodoma-Tanzania
🗓️18.01.2026

Mheshimiwa Dkt. Mwigulu ametoa kauli hiyo aliposhiriki Ibada ya Jumapili katika Kanisa Kuu Anglikana la Roho Mtakatifu, Dodoma.

This arrogant man speaking of unyenyekevu!

Mnyenyekevu labda azungumze mtu kama VP Mpango, Mwinyi wa Zanzibar, Dotto Bitteko, etc.

Mwigulu,makonda, chalamila, and co. Hawawezi kuzungumzia unyenyekevu!
 
Mngeanza nyie kuyaishi hayo,sio kujifanyisha wema kumbe wanafki tu. Hivi mnaamini mtakuwa kwenye hivyo viti milelee? Tunaendelea kupiga magoti kumlilia,tunaamini Mungu sio kiziwi.
 
Kiazi ni kiazi tu
unauwa raia wasio na hatia mpaka watoto na wanawake wajawazito halafu pimbi wewe unaongelea upendo?!
 
Siku hizi hamueleweki kabisa pendo wa kuua vijana wetu.
 
Hakuna waziri mkuu hapo.

Mtoto mdogo kama huyu hawezi kuuliwa na hao bloodthirsty bastards halafu mtuambie eti kuna amani!

Haiwezi kupita hivi hivi, hatujasahau nyie manyang'au .

Yaani mnaingia na silaha za kivita kuua watoto mitaani wasio na silaha wala zana za kujihami mnafikiri tumesahau?

Yule mwanao mwenye mishavu mikubwa angetandikwa risasi kama hivyo ungekua sasa unaongea hivi?
20260118_100905.jpg
 
Watanzania tunapaswa kuishi kwa misingi ya upendo, unyenyekevu, haki na uwajibikaji-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba.

📍Dodoma-Tanzania
🗓️18.01.2026

Mheshimiwa Dkt. Mwigulu ametoa kauli hiyo aliposhiriki Ibada ya Jumapili katika Kanisa Kuu Anglikana la Roho Mtakatifu, Dodoma.

Jambazi linapowashauri watu kuwa tuaminiane, kumbe lengo ni kuwataka watuwasilinde mali zao, ili lenyewe liweze kuiba kiurahisi! Yaani wauaji wanataka wwtu wawe na upendo! Anataka watu wawapende wauaji ili wauawe kiurahisi zaidi.

Ni mihimu sana kutambua kuwa tuna watawala mashetani wanaoua wananchi ili tu watawale bila kuhojiwa, waibe bila kuhojiwa, wadhulumu haki za watu bila kuhojiwa.

Ni muhimu kutakbua kuwa tunawltawaliwa na maji5u yasiyo na hata chembe ya upendo, ambayo hayaumizwi hata kama maelfu ya watu wakiuawa al8 mradi wao warldhulumu bila ya kuhojiwa na yeyote. Fikiria majitu yanayoteka na kuua watu, halafu yanasema kuwa tuwe na upendo!!
 
Watanzania tunapaswa kuishi kwa misingi ya upendo, unyenyekevu, haki na uwajibikaji-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba.

📍Dodoma-Tanzania
🗓️18.01.2026

Mheshimiwa Dkt. Mwigulu ametoa kauli hiyo aliposhiriki Ibada ya Jumapili katika Kanisa Kuu Anglikana la Roho Mtakatifu, Dodoma.

Neno lenye nguvu ya kuponya mioyo ya waathurika, ni kuomba msamaha wa dhati tu.

Na sio kusema yanayoumiza zaidi.

Amani, upendo huamuliwa na aliyeshika silaha, aache matumizi mabaya ya bunduki.
 
This arrogant man speaking of unyenyekevu!

Mnyenyekevu labda azungumze mtu kama VP Mpango, Mwinyi wa Zanzibar, Dotto Bitteko, etc.

Mwigulu,makonda, chalamila, and co. Hawawezi kuzungumzia unyenyekevu!
Huyu mama anachagua watu wa upeo wa akili yake. Kweli, kwa nini Dotto ameachwa? Najua, ni kwa sababu siyo vunde enough!
 
Watanzania tunapaswa kuishi kwa misingi ya upendo, unyenyekevu, haki na uwajibikaji-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba.

📍Dodoma-Tanzania
🗓️18.01.2026

Mheshimiwa Dkt. Mwigulu ametoa kauli hiyo aliposhiriki Ibada ya Jumapili katika Kanisa Kuu Anglikana la Roho Mtakatifu, Dodoma.

Kabla ya uchaguzi walikuwa hawataki kuzungumxia neno HAKI. Sasa baada ya uchaguzi ndiyo kila siku wanaxungumxia HAKI. Sasa Amsni imeishia wapi?
 
Ili watupige mashavu ya kulia na kushoto na tusilalamike sio? Iendelee kuwa nchi ya hewala baba, wao walambe tu na kulisha watoto wao mabonge tuwapigiage makofi tu, basi sawa mwegulue
 
Watanzania tunapaswa kuishi kwa misingi ya upendo, unyenyekevu, haki na uwajibikaji-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba.

📍Dodoma-Tanzania
🗓️18.01.2026

Mheshimiwa Dkt. Mwigulu ametoa kauli hiyo aliposhiriki Ibada ya Jumapili katika Kanisa Kuu Anglikana la Roho Mtakatifu, Dodoma.

Sasa huo upendo na haki mtaishi vipi wakati hamtaki watu wengi washiriki katika michakato ya kuongoza nchi. Yaani nyinyi mtake kupendwa na kutendewa haki ila muone ni usaliti kuwatendea haki watu wengine.
 
Kwakiufupi we mtanganyika nyamaza, fyata huo mdomo wako, hauna hata chembe 1 ya haki kwenye nchi yako pamoja tumeshawaua ndugu zako October ya 2025

#BackBencher
 
Back
Top Bottom