Unataka kusema hakuna walio wasafi?sasa ccm watampata wap mtu safi
Dr Nchemba, waziri mpya wa fedha nenda kachape kazi kweli kweli watanzania walio wengi wanakutegemea na wanajua makusanyo yatapanda kutoka Trillion 1.3 ya sasa hadi Trillion 2 kwa mwezi, hii itatuhakikishia sisi watanzania miradi yetu mikubwa ya kimkakati kuendelezwa na kumalizwa kabisa.Mwigulu alipewaje uwaziri wa fedha?Mtu ana skendo mbaya na rekodi mbaya?
Unajua kusema kweli mwigulu hakustahili kuwa hata mbunge
Huyu jamaa hana rekodi nzuri ya utendaji ameshafukuzwa wizara kibao
Sio mwaminifu,sio mtendaji, hajui uchumi, hajui fedha, nashangaa sana kweli hiyo nafasi angepewa hata Dr kimei, au profesa mussa Assad
Nashindwa kujua mtu ambaye ana rekodi ya visasi, hana kauli nzuri, ana rekodi mbaya ya utendaji anapewa wizara nyeti namna hiyo
Watanzania jiandaeni kupigwa, yaani mtapiga kweli kweli, mwigulu ni janja janja flan hivi sio mwaminifu kabisa, ni mchumia tumbo
Pia mnakumbuka kuna ripoti iliyowahi kutoka nadhani 2017 ikiwataja mawaziri,vigogo na watu maarufu Tanzania wanaojihusisha na biashara ya madawa ya kulevya?nadhan ile ripoti ilikua ya kenya tena iliwekwa humu ngoja nitafute huo uzi niulink hapa, kwa kifupi ni kuwa ilimtaja mwigulu kuwa naye yumo......
Watanzania mtajuta kuwekwa kwa huyu mtu wizara ya fedha muda si mrefu, siku itafika tu
wao ndo wamemuona kuwa mtu makiniUnataka kusema hakuna walio wasafi?
Mtu huyu hakubaliki na wengi kutokana na ukosefu wake wa adabu na majivuno.Mwigulu alipewaje uwaziri wa fedha?Mtu ana skendo mbaya na rekodi mbaya?
Unajua kusema kweli mwigulu hakustahili kuwa hata mbunge
Huyu jamaa hana rekodi nzuri ya utendaji ameshafukuzwa wizara kibao
Sio mwaminifu,sio mtendaji, hajui uchumi, hajui fedha, nashangaa sana kweli hiyo nafasi angepewa hata Dr kimei, au profesa mussa Assad
Nashindwa kujua mtu ambaye ana rekodi ya visasi, hana kauli nzuri, ana rekodi mbaya ya utendaji anapewa wizara nyeti namna hiyo
Watanzania jiandaeni kupigwa, yaani mtapiga kweli kweli, mwigulu ni janja janja flan hivi sio mwaminifu kabisa, ni mchumia tumbo
Pia mnakumbuka kuna ripoti iliyowahi kutoka nadhani 2017 ikiwataja mawaziri,vigogo na watu maarufu Tanzania wanaojihusisha na biashara ya madawa ya kulevya?nadhan ile ripoti ilikua ya kenya tena iliwekwa humu ngoja nitafute huo uzi niulink hapa, kwa kifupi ni kuwa ilimtaja mwigulu kuwa naye yumo......
Watanzania mtajuta kuwekwa kwa huyu mtu wizara ya fedha muda si mrefu, siku itafika tu
Hao wengi ni akina nani? umetafiti wapi kuwa hapendwi na wengi,hiki si kipindi kile cha mtu unamchukia binafsi unaamua kumtungia tuhuma za kubuni...mfano ni mchungaji msigwa vs kinanaMtu huyu hakubaliki na wengi kutokana na ukosefu wake wa adabu na majivuno.
Kama kweli Mh. Rais ana nia ya dhati ya kuunganisha Watanzania basi angemuweka mtu anayekubalika na wengi.
Kuna Watanzania wengi tu waliobobea kwenye taaluma ya uchumi wanaweza kuifanya hiyo kazi.