Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,741
- 218,330
Mwele akilala usiku anatokewa na malaika mkuu kutoka Chato.
Ama kweli malaika mkuu alimchukia huyu dada. Eti Mwele kahongwa na mabeberu...dah! Malaika mkuu alikuwa ni kiboko kwa uongo na uzushi.
Ebu tuache kwanza. Wewe ulitaka huo ubishi wa magoli ufike hadi kwa makocha ama!?De Gea kamuiga golkipa mwenzie ila kaingia chaka...
Samahani lakini....
Kiongozi wa malaika toka Chato aliumia Sana kusikia huyu mama kalamba teuzi UNDr. Mwele jembe sana
Labda alitaka mpaka na benchi la ufundi nalo lihusishwe 😃😃Ebu tuache kwanza. Wewe ulitaka huo ubishi wa magoli ufike hadi kwa makocha ama!?
Huyu Bibie ni kichwa kweli kweli.
Amerithi kichwa cha marehemu mama yake binti Mwaipopo!!! DNA ya BANYAMBALA.
kwa cheo alichonacho eti amuwaze mtu aliechini ya udongo.. kwendraaa.Mwele akilala usiku anatokewa na malaika mkuu kutoka Chato.
Ama kweli malaika mkuu alimchukia huyu dada. Eti Mwele kahongwa na mabeberu...dah! Malaika mkuu alikuwa ni kiboko kwa uongo na uzushi.
Wakenya wameacha kumtumia kutangaza dengue?Dr. Mwele jembe sana
... alikuwa baba wa uongo! Halimtoki neno kinywani ila uongo, fitna, husda, na uzushi!Mwele akilala usiku anatokewa na malaika mkuu kutoka Chato.
Ama kweli malaika mkuu alimchukia huyu dada. Eti Mwele kahongwa na mabeberu...dah! Malaika mkuu alikuwa ni kiboko kwa uongo na uzushi.
Vipi Le Mutuz alirithi akili ya nani? King of all social media in bongo...hahahah..you know...love it!
Amerithi kichwa cha marehemu mama yake binti Mwaipopo!!! DNA ya BANYAMBALA.