Dkt. Mwele Malecela awataka wataalam kufanya kazi bila woga

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
116,495
215,349
Mkurugenzi wa Magonjwa ya kitropiki kutoka WHO , Dr Mwele Malecela amesema wataalamu wa sekta mbalimbali wafanye kazi kwa kuzingatia weledi bila woga.

Dr Mwele kwa sasa anafanya kazi Makao Makuu ya WHO Geneva Uswisi , amesema wataalamu waachwe wafanye kazi kwa weledi ili kupata matokeo chanya dhidi ya ugonjwa wa corona.

Amempongeza Rais Samia kwa hatua anazochukua katika kudhibiti ugonjwa wa Corona.

Chanzo : Mwananchi .

Pia soma;

Thread 'Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi NIMR Dr. Mwele Malecela' Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi NIMR Dr. Mwele Malecela

Thread 'Rais Magufuli amnyooshea kidole Mwele Malecela asema alitumiwa na mabeberu kutangaza ugonjwa 'hewa' wa Zika' Rais Magufuli amnyooshea kidole Mwele Malecela asema alitumiwa na mabeberu kutangaza ugonjwa 'hewa' wa Zika
 
Huyu mama alipigwa chura na mwendazake.Kupigwa chura means kufukuzwa kwa kudhalilisha ikiwa na maana uharibikiwe kabisa upoteze direction lakini Mungu anakuinuia zaidi ya ulivyokuwa ni lazima aliyekupiga chura ateseke Sana.Ni SAwa na mwanamke kakuacha kisa huna pesa baada ya kukuacha pesa zikakutembelea mara mia zaidi huwa wanaumia Sana.
 
Mwele akilala usiku anatokewa na malaika mkuu kutoka Chato.
Ama kweli malaika mkuu alimchukia huyu dada. Eti Mwele kahongwa na mabeberu...dah! Malaika mkuu alikuwa ni kiboko kwa uongo na uzushi.
kwa cheo alichonacho eti amuwaze mtu aliechini ya udongo.. kwendraaa.
ana mshahara mkubwa kuliko hata aliokuwa analipwa hala tz.. stress zitoke wapi?
 
Amerithi kichwa cha marehemu mama yake binti Mwaipopo!!! DNA ya BANYAMBALA.

Acha kudanganya jamii kwani hakuna Mwaipopos anayeweza kuwa na hata robo ya Mweles IQ na kama kuna hata mmmoja unayemjua tuambie tukusaidie kuchambua
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom