Dkt. Mwele anahitajika zaidi kipindi hiki

eddy

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2007
Posts
17,079
Reaction score
12,307
Tusione aibu tumwombe Dr Mwale aje kuongeza nguvu kwenye hili janga, huyu taaluma yake Ni utafiti wa vimelea, tumrudishe Amref afanye kazi ya ku coordinate control za hili janga.

Hawa waliopo naona ka wamekata network, Mara naweni Mara vaa baragashia Mara mlale bwenini,

Tunahitaji kuambiwa characteristic ya huyu mdudu kwa kufanya research za hapa kwetu, Sasa hivi tunaanza na kuwasingizia wazururaji kuwa ndio wanaoeneza
 
Arudishwe kwani aliondokea Amref, halafu ni kama NGOs zingine tu, stay on your lane, Corona ipo tuzingatie ushauri wa wataalamu wetu wa Afya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwache afanye kazi huko atuletee forex
Tusione aibu tumwombe Dr Mwale aje kuongeza nguvu kwenye hili janga, huyu taaluma yake Ni utafiti wa vimelea, tumrudishe Amref afanye kazi ya ku coordinate control za hili janga.

Hawa waliopo naona ka wamekata network, Mara naweni Mara vaa baragashia Mara mlale bwenini,

Tunahitaji kuambiwa characteristic ya huyu mdudu kwa kufanya research za hapa kwetu, Sasa hivi tunaanza na kuwasingizia wazururaji kuwa ndio wanaoeneza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana mtu wao ummi mficha taarifa akishirikiana na jiwe
 
Muacheni mama wa watu... Mlimtimua mkaona hana maana. I hope hatorudi.

Back
Top Bottom