Tatizo analoliongelea huyu Mwaka ni kubwa kuliko anavyoliweka.Hii mbona ni kweli wengi huwa angalau na hisia pale kwenye ovulation baada ya hapo ni hakuna
Ila angalau wale wa 18yrs had 25 yrs bado Wana kakitu watafika mbali
Amekuja kivingine" Wanawake wengi hawana hisia... hawasemi tu lakini wako wengi na ukiongea nao wanakwambia wako ndani ya ndoa wana watoto wawili, watatu, wanne lakini ukimuuliza hivi lini umewahi kufika mwisho wa safari anauliza ndio vipi hivyo mbona mie sielewi? "Kwani na Mwanamke huwa anafika mwisho wa safari?".
"Hawajui na wapo kwenye ndoa. Unapaswa ufanye lile tendo huku ukilifurahia, lile ni tendo la furaha na kama hulifurahii, kama huna hamu nalo, kama hufiki katika kilele cha furaha ina maana kwamba una matatizo. Kwa hiyo nafikiri ipo pia haja ya kufikisha elimu kwa hawa kinamama, Wanawake na kinadada".
Amesema Dkt. Juma Mwaka @dr.mwaka kwenye Sasambu ya TBC FM
Anausikilizia, chezea utamu wewe.
Kama kawaida yake, anawatafutia timing wajae, apige pesa." Wanawake wengi hawana hisia... hawasemi tu lakini wako wengi na ukiongea nao wanakwambia wako ndani ya ndoa wana watoto wawili, watatu, wanne lakini ukimuuliza hivi lini umewahi kufika mwisho wa safari anauliza ndio vipi hivyo mbona mie sielewi? "Kwani na Mwanamke huwa anafika mwisho wa safari?".
"Hawajui na wapo kwenye ndoa. Unapaswa ufanye lile tendo huku ukilifurahia, lile ni tendo la furaha na kama hulifurahii, kama huna hamu nalo, kama hufiki katika kilele cha furaha ina maana kwamba una matatizo. Kwa hiyo nafikiri ipo pia haja ya kufikisha elimu kwa hawa kinamama, Wanawake na kinadada".
Amesema Dkt. Juma Mwaka @dr.mwaka kwenye Sasambu ya TBC FM
UmenichekeshaVipi alifanikiwa kusuluhisha ndoa yake?
hujaelewekaSisi walevi na waangalia porn haya mambo ya kileleni huwafikisha mpaka wengine huanza kusema Jesus,Yesu sijui mama. Na mikono juu kama wanaaga mtu aliepo darini[emoji23][emoji23]