Dkt. Mpango: Mitandao inaweza kutumiwa kueneza upotoshaji wa makusudi

JamiiCheck

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2023
Posts
213
Reaction score
226
Ujumbe wa Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango alioutoa Agosti 11, 2025 katika Mkutano Mkuu wa mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi uliofanyika mkoani Kilimanjaro, unatukumbusha kuwa makini dhidi ya Taarifa Potofu mtandaoni hasa wakati wa uchaguzi.

Ni muhimu kuthibitisha uhalisia wa kila Taarifa unayoipata mtandaoni ili kufanya maamuzi yenye tija kutokana na Taarifa Sahihi.

Kupata msaada wa uthibitishaji wa taarifa tembelea Jukwaa la JamiiCheck.com kisha wasilisha taarifa husika ili kupata uhalisia kwa wakati.

kumbe matutusa mengi! sikujua
 
Hofu inaongezeka zaidi pale ambapo kila mmoja amekuwa mwandishi wa habari no scrutiny ya habari yoyote ni hatari saana.

Ubaya huongezeka zaidi pale ambapo habari potofu humfikia mtu asiye na akili na hajui kama ana akili ....maaamaaaah halafu akitane na wenzake wasio na akili na hawajui kama hawana akili.
 
Kuna muda ukweli unachanganywa kwenye upotoshaji
 
Back
Top Bottom