#COVID19 Dkt. Mollel: Askofu Gwajima ataitwa athibitishe kauli zake, akishindwa tutamshughulikia

kuna tatizo mahali.......wacha nkajipige MSUBA,,,, TUJIKINGE WANDUGU,,,,,, kila mtu na wakwao....hili DUBWANA CORONA.... ni hatari usiombee...jifukize....wewe na wakwako.....maisha matamu MNO....
Hakuna cha kujifukiza zaidi ni kupatiwa chanjo tu
 
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Mollel amesema kuwa mchungaji Gwajima sasa kapitiliza kwa kuwapotosha Watanzania.

Kwa ufupi pitia kwenye bandiko lake hapa chini ili kujionea alicho ongea.

Ujinga mtupu,

Utathibitishaje forecast ya miaka miwili hadi kumi? Huyu kweli ni daktari mwenye taaluma inayohitaji ukweli ni sharti upitie vipengele kadhaa?Kusanya taarifa, chakata, chambua, pembua, wianisha na pata kithibiti chenye kuunga mkono chanya

'Forecast' hupewa changamoto pindi kipindi kilichobainishwa kutokea endapo itakuwa vinginevyo kwahiyo kudai ushahidi mpaka ni kazi bure.

Mambo ya kiroho hayaendani na mambo ya kimwili hivyo hapo kuna nguvu mbili zinapambana roho (haionekani) mwili (unaonekana na kushikika)
 
Huyo Mollel ni bwana mdogo sana kwa Gwajima na hawezi kumfanya kitu

Mollel katupiga sound
Niliandika hapa juzijuzi haya sasa leo jumapili huko kanisani Gwaji boy kaendeleza kuupiga mwingi! Bado kuna watu mna mashaka na hii comment yangu hapo juu👆🏼👆🏼👆🏼
 
Niliandika hapa juzijuzi haya sasa leo jumapili huko kanisani Gwaji boy kaendeleza kuupiga mwingi! Bado kuna watu mna mashaka na hii comment yangu hapo juu
Wewe kama unaungana na Gwajima kamwe hatuwezi kuwa na mashaka na uamuzi wako.

Lkn nikuhakikishie tu kuwa Gwajima hana jeuri ya kushindana na serikali iliyopo madarakani.
 
Back
Top Bottom