Umechangia kweli wewe?wakati Dotto anachota kutoka hazina yetu ya taifa kumlipia Iskariote Mashinji, sisi Watanzania tunachangia kutoka kwenye vibubu vyetu kwa ajili ya viongozi wa Chadema. nguvu ya umma!
Asante dadaWamebaki kuwaiga cdm kila wafanyacho. Usishangae wanawake wa ccm nao wakakutana mlimani city ili kujibu shambulizi la wanawake wa cdm juzi. Kweli ukizeeka unabaki kuiga tu.
Mzee usiingize siasa na maisha ya mtu binafsi..
Sent using OnePlus 6T Maclaren Edition
Duh! Jaman acheni basi! Kweli hiyo takataka ni ya kujibu?!!
Ila ile M ngapi wanayochangishana wale wahuni wameunganisha na ya masinji sijui wataifantaje