Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 11,572
- 16,047
Nyerere alituunganisha.
Mwinyi akatufungua macho
Mkapa alijenga uchumi
Kikwete aliletwa ili kumuandaa Yohana Mbatizaji (Dr Johnn Magufuli).
Dr Magufuli ndiye atakayetunyoshea njia, atasimamia utawala wa sheria. Atawanyoosha watanzania wazembe wazembe.
Mungu ambariki sana, hii vita lazima CCM tushinde maana Mungu yupo upande wetu!